Hivi vituko vyenu akina dada vitaisha karne ya ngapi?

Hivi vituko vyenu akina dada vitaisha karne ya ngapi?

Ndo maana niliamua kukupotezeaga pm!utoto sana...!km umeona anazengua si ungempotezea tu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Kumbe kuna watu wanachezea bahat hv acha nitume req ya kuja mim
 
Sioni makosa ya huyo dada maana umemchatisha mwenyewe kwa hayo maswali lazima njaa imuume
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi kweli kweli
 
Mtu anafanya kazi alafu analia lia njaa,inakera sana
 
Wanafurahisha sana...

Ashajua unachotaka nini kutoka kwake, ili usijipigishe story nae kakumbia direct anachotaka kutoka kwako...

Umeshindwa kujiongeza tuu...

😀 😀 😀 😀 😀 😀

Cc: mahondaw
 
Wanafurahisha sana...

Ashajua unachotaka nini kutoka kwake, ili usijipigishe story nae kakumbia direct anachotaka kutoka kwako...

Umeshindwa kujiongeza tuu...

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Cc: mahondaw
Mapenzi ya kwenye mitandao hamna kitu.
 
Back
Top Bottom