Hivi vituko vyenu akina dada vitaisha karne ya ngapi?

Hivi vituko vyenu akina dada vitaisha karne ya ngapi?

Eti mie naona km utoto...umemtongoA mwanamke anakuomba hela akale kwann usi-mute mkuu??kama si kujaza seva ni nn huku...mbona hizi nyimbo zishasikika sana...ww unapoona ngumu kumtumua 5000 akale muda huo.huo na nchi hyo hyo kuna mwanaume ametuma...300k kwa mwanamke...so kila mtu ale kufuatia urefu wa kamba yake...unalalamika vitu vdg sana...wala silumbani naye....!
Hhahahaa....mtu mwenyew anayelalamika.kuombwa hela sasa[emoji41]
Mbona umekua mkali sana kwani tayari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom