Hivi vituko vyenu akina dada vitaisha karne ya ngapi?

Hivi vituko vyenu akina dada vitaisha karne ya ngapi?

Eti mie naona km utoto...umemtongoA mwanamke anakuomba hela akale kwann usi-mute mkuu??kama si kujaza seva ni nn huku...mbona hizi nyimbo zishasikika sana...ww unapoona ngumu kumtumua 5000 akale muda huo.huo na nchi hyo hyo kuna mwanaume ametuma...300k kwa mwanamke...so kila mtu ale kufuatia urefu wa kamba yake...unalalamika vitu vdg sana...wala silumbani naye....!
Sasa kama hulumbani na mimi kelele za nini au mwanamke ni wewe peke yako humu?
 
Hatuna chatt zozote nilizochat nae ambazo zinamfanya na yeye ajione mwanamke. Anajishauwa et ananifaham muulize nikoje na aliniona wapi?
 
I meant ungemkubalia mchat alikuwa anatafuta akupost like Happy ukamstukia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ningechat nae vitu vya ajabu sikupanga hata siku moja kuja kumuweka hapa... Nishachat na wengi sana humu JF tena maarufu sana na sijaona cha ziada. Sana sana kupotezeana mda tu siku ziende. Wananifaham wengi humu hata kwa picha lakini sijaona wakilalamika kama yeye, aseme kinachosumbua. Maumivu yakizidi amuone daktari.
 
Hawa viumbe..
IMG-20190331-WA0017.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom