Hivi vituko vyenu akina dada vitaisha karne ya ngapi?

Hahaha...naona manengelo unabananishana na huyo karot

Eti mie naona km utoto...umemtongoA mwanamke anakuomba hela akale kwann usi-mute mkuu??kama si kujaza seva ni nn huku...mbona hizi nyimbo zishasikika sana...ww unapoona ngumu kumtumua 5000 akale muda huo.huo na nchi hyo hyo kuna mwanaume ametuma...300k kwa mwanamke...so kila mtu ale kufuatia urefu wa kamba yake...unalalamika vitu vdg sana...wala silumbani naye....!
 
Huyo jamaa kama ameleta hizo chat huku ipo siku ataleta hadi za kwenu huku navoona
 
Back
Top Bottom