Leo nilinunua kifurushi cha intaneti kwa njia ya mpesa. Muamala ukatoka freshi, intaneti ikashika.
Ghafla nikaletewa ujumbe ukisema salio langu halitoshi nichukue mkopo wa Tsh. elfu 4!π€π€
Bahati nzuri nilicheki salio langu kabla sijaendelea, na lilikuwepo la kutosha!
Utaratibu huu ni halali kweli? Kumpotosha mteja akope na kulipa huduma ambayo hana mahitaji nayo?