Ni wanaccm, wao huwa wanajitokeza kwenye chaguzi kama backup ya chaguzi za kishenzi zinazifanyika hapa nchini.Kwa Kipindi hiki Cha maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ni Vyama vitatu tu ambavyo ni CCM,CHADEMA na ACT ndio naona vina pilika pilika nyingi za kuuza sera zao kwa wananchi!!
Swali la kujiuliza hivi Vyama vingine shughuli zao wanafanyia sehemu gani?,Kuna Vyama tangu uishe Uchaguzi Mkuu uliopita mpaka sasa,hawajawahi kuitisha hata mkutano mmoja kulikoni?,
Lakini Viongozi wake wengi unawaona kwenye mikutano ya Kiserikali tu!!
Hao vibaka huwa wanasubiri Chadema wakiwa na jambo lao CCM wanawashonea suti za bei nafuu na kuwapa laki tatu tatu ili wafanye press ya kuitukana Chadema.Kwa Kipindi hiki Cha maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ni Vyama vitatu tu ambavyo ni CCM,CHADEMA na ACT ndio naona vina pilika pilika nyingi za kuuza sera zao kwa wananchi!!
Swali la kujiuliza hivi Vyama vingine shughuli zao wanafanyia sehemu gani?,Kuna Vyama tangu uishe Uchaguzi Mkuu uliopita mpaka sasa,hawajawahi kuitisha hata mkutano mmoja kulikoni?,
Lakini Viongozi wake wengi unawaona kwenye mikutano ya Kiserikali tu!!
Nimefurahia comment yako hapavyama shikizi
Congratulations. You really have a calling in BROKEN English.Your question highlights a key issue in multiparty democracy. Most small parties only appear active during elections due to lack of resources, weak structures, or limited public support. Some leaders focus more on government functions than building their parties. Only CCM, CHADEMA, and ACT-Wazalendo have consistent visibility. This raises questions about the seriousness and sustainability of the other parties.
Haha, guilty as charged! I was just speaking the people's English but don’t worry, I can switch to Queen’s English if needed.Congratulations. You really have a calling in BROKEN English.
Matawi ya ccmKwa Kipindi hiki Cha maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ni Vyama vitatu tu ambavyo ni CCM,CHADEMA na ACT ndio naona vina pilika pilika nyingi za kuuza sera zao kwa wananchi!!
Swali la kujiuliza hivi Vyama vingine shughuli zao wanafanyia sehemu gani?,Kuna Vyama tangu uishe Uchaguzi Mkuu uliopita mpaka sasa,hawajawahi kuitisha hata mkutano mmoja kulikoni?,
Lakini Viongozi wake wengi unawaona kwenye mikutano ya Kiserikali tu!!
Satan companyWanafanya shughuli zao kila siku sema wewe huna interest ya kufuatilia. Hivyo vyama viko active.
sijawahi kuona mikutano yao hata mtaani kwangu!Kwa Kipindi hiki Cha maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ni Vyama vitatu tu ambavyo ni CCM,CHADEMA na ACT ndio naona vina pilika pilika nyingi za kuuza sera zao kwa wananchi!!
Swali la kujiuliza hivi Vyama vingine shughuli zao wanafanyia sehemu gani?,Kuna Vyama tangu uishe Uchaguzi Mkuu uliopita mpaka sasa,hawajawahi kuitisha hata mkutano mmoja kulikoni?,
Lakini Viongozi wake wengi unawaona kwenye mikutano ya Kiserikali tu!!
What broken English?Congratulations. You really have a calling in BROKEN English.