Hivi Vyama 16 shughuli zao za Kisiasa wanafanyia wapi?

Hao watu Wana akili sana usifikiri WAJINGA. Ikifika uchaguzi Chama kinachosimamisha mgombea wa urais wanapewa ruzuku sio chini ya milioni 200 kwa ajili ya kampeni za urais. Wanatumia milioni 10 kwenye kampeni nyingine wanagawana wanasubiri miaka 5.
 
Hao ndiyo wakashindane na CCM ili awashinde kwa kishindo
 
Itakuwa Mvunguni.
 
Wanafanya shughuli zao kila siku sema wewe huna interest ya kufuatilia. Hivyo vyama viko active.
We Mama sema wanafanya Wapi ! Maelezo mengi swali ni fupi

Wanafanya wapi? Njia ya kusikia habari zao ni kwenye Media….. hawasikiki huku except kipindi cha kusaini maadili ikiwa ni sehemu ya kupata ruzuku

Chadema cccm act wanasikika kwa media

Hao wanasikika wapi

We mama unazeeka vibaya

Swali la uzi ni swali firikirish îkiwa hawa ni vyama pandikiz
 
We subiri Ubwaubwa
 
And additional point to that is to create a good image internationally that our country is practising democracy fully while they are all CCM's counterparts. Yote tu tusikose missada kutoka nchi za magaribi kama sehemu ya one of their conditions.
CCM janja sana😄
 
Unagongwa
 
Ofisi zao ni palepale lumumba.
 
bilashaka yoyote watakua wanafanyia kazi zao ground na field kwa wananchi huko vijijini na mitaani, tofauti na Chadema inafanya zaid kazi zake twita na JF, wakifika field kwa wananchi wanonekana kama vibaka na matapeli wa kisiasa tu 🐒
 
Wanafanyia ukumbini mkuu.
 
Hapahapa Tanzania mfanyiapo nyie nyumbu, sema wao wamekuwa wajanja ndo maana unawaona kwenye matukio maalum.
 
Wanafanyia
sijawahi kuona mikutano yao hata mtaani kwangu!
K
Wametosheka na wanachama walio nao
Wanawasiliana nao na kufanya mikutano nao kwa zoom meeting na whatsapp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…