Uchaguzi 2020 Hivi Vyama vya Upinzani Tanzania viko serious na kuongoza Serikali?

Buku 7 at work
 

Upinzani iliteleza 2015 na kukosa Urais kwa sababu ya ubinasi(egoism) na mwaka huu, 2020 upinzani hautapa hata wabunge 10 Tz Bara! Sababu;Rais Dr Magufuli amekijenga chama vizuri(CCM) na kinakubalika!
 
Sasa kama hawatashinda kwanini maccm yanaogopa uchaguzi huru na wa haki na kutaka ushindi haramu wa wizi?
Sasa hali ndo imeshakua hivyo Upinzani hakuna plan B???.......... au ndo kila siku mambo yataenda hivihivi baadae tunakuja kutoa povu mtandaoni huku upande wa pili wanaapisha ,halafu unangojewa uchaguzi mwengine yajirudie yaleyale tena??? mimi ninachoona ili Upinzani waingie Ikulu lazima wapate mbinu tofauti ila kwa kusema kuwaomba CCM ilegeze ili wapinzani washinde ni kitu Impossible.............................mwisho wa siku kwa upande wa CCM ushindi kwao ni ushindi tu hata kama ukiwa haramu
 
VYA VYA UPINZANI AMA VYA MITANDAO YA JAMIIII KILA.MTU AONEKANE ANA CHAMA AMA ANAGOMBEA KHA
 
Sasa kama hawatashinda kwanini maccm yanaogopa uchaguzi huru na wa haki na kutaka ushindi haramu wa wizi?
HARAMU HULIWA NA HARAMUUU MUPWAAA TUTULIEEE TU CCM IFANYE YAKE
 
Ni jambo zuri kwa CHADEMA ku fikiria ku wekeza zaidi kwa wagombea wa ubunge na udiwani lakini jambo la kuwekeza lina chukua muda. Kuwa na mgombea wa urais ambaye ana kubalika sehemu nyingi nchini inawa saidia sana wagombea wa ubunge na udiwani kwenye sehemu husika. Vile vile nina jaribu kutafakari jinsi ambavyo chama chochote cha siasa kinaweza ku muandaa mgombea yeyote na ninahisi kitu cha kwanza ni ku hakikisha kwamba anajaribu kadri ya uwezo wake ku kamilisha kazi aliyo panga ku kamilisha katika muda wake bungeni. Hicho kinaweza kumfanya akubalike na aaminike anapo gombea kipindi kingine. Sidhani kama chama chochote cha siasa kinaweza kusema kama kina wekeza kwa mgombea yeyote mwezi mmoja kabla ya kipindi cha kampeni. Hilo ni jambo ambalo linatakiwa lifanyike mapema zaidi
 
Wewe au Baba yako mnakula kwa mgongo wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…