Hivi vyeti vinavyotolewa online na mashirika kama google na etc vina soko kwa waajiri?

Hivi vyeti vinavyotolewa online na mashirika kama google na etc vina soko kwa waajiri?

Idrissou02

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
354
Reaction score
656
Kama kichwa cha habari hapo kinavouliza.
Je hizi online course zinasaidia kwenye kupata ajira kweli? Maana kama ni skills kweli mtu unajifunza ila je vyeti vinavyopatikana kwa njia hii viko marketable?
 
Kazi ya vyeti sio kupata ajira tu ni verification tu, na anayesoma hizo Courses sio kwaajiri ya ajira...ni Skills tu.

Tatizo ni Mindset yako ukisikia neno cheti unawaza ajira.
 
Watu sijui mna shida ya kuelewa swali au ndo mnajifanya wajuaji sana. Mimi shida yangu ni kujua kama vinaongeza kitu kwenye kuomba ajira mbalimbali mara mtu anaanza kuniambia nifocus kwny competence mara sijui mindset yangu ndogo.
Wewe ambae umeshindwa kuelewa swali langu na mimi nani ana mindset ndogo. Acheni kujifanya wajuaji, jibu swali kama huoni haja ya kujibu na una mawazo yako mengine acha.

Ova
 
[emoji16][emoji16]
Umewafokea hadi wamekimbia.

Na mimi nimeweka kambi hapa nasubiri jibu
 
Labda hukuelewa. Vinaongeza uzito/Kuboresha CV maana ni sehemu ya kujiendeleza Kitaaluma/Kiujuzi/Kiuweledi (Continuous Professional Development).
 
Back
Top Bottom