Watu sijui mna shida ya kuelewa swali au ndo mnajifanya wajuaji sana. Mimi shida yangu ni kujua kama vinaongeza kitu kwenye kuomba ajira mbalimbali mara mtu anaanza kuniambia nifocus kwny competence mara sijui mindset yangu ndogo.
Wewe ambae umeshindwa kuelewa swali langu na mimi nani ana mindset ndogo. Acheni kujifanya wajuaji, jibu swali kama huoni haja ya kujibu na una mawazo yako mengine acha.
Ova