shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Watu wanasema vyuma vimekaza huku wenzetu wakihama miji kwa mijigari kwenda kuserebuka msimu huu wa x mass
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we wa shy sehem gani Mkuu samahani lakiniWatu wanasema vyuma vimekaza huku wenzetu wakihama miji kwa mijigari kwenda kuserebuka msimu huu wa x mass
Watu wanasema vyuma vimekaza huku wenzetu wakihama miji kwa mijigari kwenda kuserebuka msimu huu wa x mass
Mkuu hata Kama picha ni ya mwaka Jana ila leo nimeshuhudia msusuru wa magari kibao hapa Segera, wachaga noma yaani njia ya Korogwe imejaa magari yanaelekea Moshi unaweza kuhisi kuna msafara wa kiongozi au imekua foleni ya DsmSio ya mwaka huu hiyo lakini kila mwaka mbona mnaleta hiyo hiyo
Ungepiga ututumie sasa mkuu.sina tatizo na ilo ni kawaida yao haoMkuu hata Kama picha ni ya mwaka Jana ila leo nimeshuhudia msusuru wa magari kibao hapa Segera, wachaga noma yaani njia ya Korogwe imejaa magari yanaelekea Moshi unaweza kuhisi kuna msafara wa kiongozi au imekua foleni ya Dsm
Hili ni kweliWamejipanga sana hawa jamaa aisee..wanasemaga mjini wamekuja kutafuta tu lakini nyumbani ni Moshi. Hii inawafanya kuendelea kuendeleza nyumbani ikiwa ni pamoja na kujenga majumba yakiwemo maghorofa, hamu ya kurudi nyumbani hapo lazima iwepo tu.
Jingine ni kwamba wazee wa kichaga kuhamia kwa watoto wao mjini eti kisa ana Mali hilo kwao ni mwiko, atakuja kwa shughuli maalum au kutibiwa akimaliza anamwambia ngoja nikaangalie kule mgombani kwangu kusije kuharibika mwanangu.
Nilikua naendesha piki piki mkuu nisingeweza kupiga picha kirahisi maana kwanza nilikua na harakaUngepiga ututumie sasa mkuu.sina tatizo na ilo ni kawaida yao hao
Kilimanjaro Noma Sana Yaani Hata Ubungo Stand Wamejaa Safari Kwao
Mkuu hata Kama picha ni ya mwaka Jana ila leo nimeshuhudia msusuru wa magari kibao hapa Segera, wachaga noma yaani njia ya Korogwe imejaa magari yanaelekea Moshi unaweza kuhisi kuna msafara wa kiongozi au imekua foleni ya Dsm