Epstein kasema wapoNAni kasema wapo
Mkuu nimeisomaa balaaa zitoo la duniaa aiseeakina kikwete, nyalandu, chenge, makamba! wamo humo! unataka tusijadili?
Seran mleta maada Yupo sahihi lakini hayo anayotaka tuzungumzie je unashuhuda na ushahidi. Wingi wa taarifa ulizo nazo ndo urahisi wako kizungumzia jambo, ndo mana kila mtu anachangia mada tofauti tofauti kulingana na ideals Alizonazo kichwani, kwahyo simply naweza sema kwamba ni INTEREST tu za mtu. Ndomana kuna wanaopenda mada za ngono, mada za wanawake mada za siasa na mengine.
Kadli ziku znavo enda nazidi kuamini pesa ni among of demonic materials.Hii dunia inamengi yamejificha, hawa matajiri ukiwaona mbele ya jamii ni watu wa maana na heshima ila behind ni wana mengi sana, yaani daah.
Kina beyonce na jay z wanahaha tu hukoKadli ziku znavo enda nazidi kuamini pesa ni among of demonic materials.
Kwann ?Kina beyonce na jay z wanahaha tu huko
Wanatoa watoto kafaraKwann ?
Kipindi fulani hukoMkuu nimeisomaa balaaa zitoo la duniaa aisee
mmh!! So scary I see the apocalypse aheadWanatoa watoto kafara
Acha tu mambo yote yadhihirike tuone mwisho wake!mmh!! So scary I see the apocalypse ahead
But It is just a tip of iceberg btwAcha tu mambo yote yadhihirike tuone mwisho wake!
Yeah, sureBut It is just a tip of iceberg btw