joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Mwamba Bill Gates nae alikuwa na show na kibinti cha Ki-Rusia ,akaamua amkamee binti akamwambi mwamba Epsteinamtafute booster kwa ajili ya show japo Gates kakataa ahusiki. Ndipo unapokuja kujua mpaka matajiri wanakamia na wanamasupplier wao.Kadli ziku znavo enda nazidi kuamini pesa ni among of demonic materials.
Nani kakubdanganya? Waone hivyo hivyo viongozi wako hao. Ni mashetani. Ndo manaa haiwaumi kuua watu kabisa.Mhh bora sisi hatuli nyama za watu.
Ni KweliNani kakubdanganya? Waone hivyo hivyo viongozi wako hao. Ni mashetani. Ndo manaa haiwaumi kuua watu kabisa.
Daaah, haya mambo yanasikitisha sanaMwamba Bill Gates nae alikuwa na show na kibinti cha Ki-Rusia ,akaamua amkamee binti akamwambi mwamba Epsteinamtafute booster kwa ajili ya show japo Gates kakataa ahusiki. Ndipo unapokuja kujua mpaka matajiri wanakamia na wanamasupplier wao.
Nina Prof wangu mmoja jamaa ni kichwa upande wa Electrical, bwana kuna siku night kali klabu, kuna wana walimfuma ana bonge la pisi kali kipinti kidogo ila kimefungasha bonge la tako, ila wana wakakausha kama hawamjui. Ila hawa wakina Epstein na wenzake ndio wamefanya kufuru......
Niliangalia documentary ya Didy nayo daah ,hayo mambo yamejaa kibao....yaani hawa matajiri wanamengi sana mabaya nyuma ya pazia.
Vivyo Hivyo Kwa Maskini Pia......Hii dunia inamengi yamejificha, hawa matajiri ukiwaona mbele ya jamii ni watu wa maana na heshima ila behind ni wana mengi sana, yaani daah.
Vivyo Hivyo Kwa Maskini Pia....Mwamba Bill Gates nae alikuwa na show na kibinti cha Ki-Rusia ,akaamua amkamee binti akamwambi mwamba Epsteinamtafute booster kwa ajili ya show japo Gates kakataa ahusiki. Ndipo unapokuja kujua mpaka matajiri wanakamia na wanamasupplier wao.
Nina Prof wangu mmoja jamaa ni kichwa upande wa Electrical, bwana kuna siku night kali klabu, kuna wana walimfuma ana bonge la pisi kali kipinti kidogo ila kimefungasha bonge la tako, ila wana wakakausha kama hawamjui. Ila hawa wakina Epstein na wenzake ndio wamefanya kufuru......
Niliangalia documentary ya Didy nayo daah ,hayo mambo yamejaa kibao....yaani hawa matajiri wanamengi sana mabaya nyuma ya pazia.
Samia gang inayojimuisha Mafwele and his workmates yale wayafanyayo Jeffrey Epstein akasome, Samia mwenyewe circus zake J Epstein haoni ndani.Sisi ngozi nyeusi , unafiki ni asili yetu kabisa.
Tunajadili kashfa za watu mashuhuri kuhusiana na unyanyasaji wa kingono wa watoto n.k.
Wakati hapa bongo na sisi ni walewale tu . Wengi wetu huwa tuna tabia mbaya na chafu na huwa tunazifunika kwa gharama yoyote ile.
Sio kwa raia wa kawaida... Kuanzia ngazi ya familia zetu za chini hadi kwet corridor za ikulu mle hakuna aliye msafi. Hatuna maadili ila ni basi tu tunafunikafunika na unafiki mwingi.
Ultra‑rich circles operate with no transparency
Gatekeepers protect each other
Money buys silence, access, and invisibility
The social networks of the wealthy are built on mutual compromise
People who speak up get crushed
People who stay quiet get rewarded
It’s not that “you must be evil to be rich.” It’s that the systems that produce extreme wealth are often the same systems that hide wrongdoing. big Shareef
Tatizo matajiri wanavyo jipresent kwa watu, tofauti na wasiokuwa na hela,halafu ni watu wanaolinda image zao kwa gharama kubwa,sababu wana vingi kwa kupoteza.Vivyo Hivyo Kwa Maskini Pia....
Hayo Uliyoyasema Ndivyo Inakubidi Uishi Siku Zote Haijalishi U Hali Gani Kimwili,,Kiakili Na Hata Kiroho Pia...Iwe Kanuni Yako Ya MAISHA Yako Ya Kila Siku.....Tatizo matajiri wanavyo jipresent kwa watu, tofauti na wasiokuwa na hela,halafu ni watu wanaolinda image zao kwa gharama kubwa,sababu wana vingi kwa kupoteza.