Hivi Waafrika hatuna akili?

Hivi Waafrika hatuna akili?

Habari za ijumaa wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Soma hii upate kuelimika
 
Labda wewe na ukoo wako ndiyo msiokuwa na akili
 
Habari za ijumaa wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Zipo sana ila ni low, now si waafrika wote wako hivyo kuna exception
 
Habari za ijumaa wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Muafrika wewe ndo Huna akili
 
Wapo watu weusi walikulia nchi za ughaibuni na wamefanya gunduzi tunazozitumia leo. Mfano Lewis Latimer alibuni bulb zinazotumia filament na hata three light traffic light imegunduliwa na mtu mweusi bila kumsahau Ben Carson neurologist aliyeishangaza dunia.
Lakini bado ni gunduzi ndogo sana ukicompare na wenzetu.
Ebu imagine mtu aliwaza vipi kuwa umeme chanzo chake kinaweza kikawa maji na sio maji ya baharini wala ziwani.

Sometimes huwa nawaza labda wazungu wana siri katika teknolojia zao au labda wana ubongo tofauti na zetu.
 
Tunamaugnduzi mengi tunayo sema nn wazungu hawataki kutu appreciate kitendo cha kupaa na ungo bila adhari zozote ni ugunduzi wazungu waksema hyo ni uchawi ili mandenge yao yasikose wateja ila ni njia bora sna ya kusafiri hii iaharamishwe
Wazungu ni wachawi kuliko watu weusi. Uchawi wetu ungekuwa na nguvu tusingetawaliwa na kuuzwa kama nyanya.
 
Akili tunazo ila mifumo yetu ya elimu haiendani na dunia ya sasa. Wenzetu wanajifunza carriers watakazo tangu wakiwa wadogo ila huku mtu anajifunza mfano somo la jiographia kuanzia la kwanza hadi kidato cha nne na halitumii popote maishani.
Lakini hiyo siyo ishu kubwa.
U genius mtu anazaliwa nayo
Refer Nikola Tesla etc.
 
Wapo watu weusi walikulia nchi za ughaibuni na wamefanya gunduzi tunazozitumia leo. Mfano Lewis Latimer alibuni bulb zinazotumia filament na hata three light traffic light imegunduliwa na mtu mweusi bila kumsahau Ben Carson neurologist aliyeishangaza dunia.
Hata pale FBI kuna detectives wana akili sana na wanafanya kazi sambamba na wazungu..
 
hatuna akili au tunaonekana hatuna akili kwa sababu hatufwati meritocracy, angalia mfano mkuu wa trc alivyo vizuri ni kwa sababu meritocracy ilitumika akapata hiyo position huo ni mfano tu, sasa ilitakiwa iwe hivyo kila mahali hapo ungeona matunda yake, lkn hatufwati meritocracy na imekwenda mbali kiasi kwamba sasa hivi anayefaulu sana anachekwa …
Lakini wagunduzi wengi walikuwa na elimu ya kawaida.
Ila walifanya makubwa, Sio kwamba uwezo wetu ni mdogo tu?
 
THE NEGRO AS AN INVENTOR.

405

These inventions show how completely in error are those who con stantly assert that the Negro has made no lasting contribution to the civilization of the age, and they prove conclusively that under favor able environment he is capable of performing his whole duty in the work of mankind whether it be tilling the earth with his hoe or advancing the world by his thought.

LIST OF COLORED INVENTORS IN THE UNITED STATES AS FURNISHED FOR THE PARIS EXPOSITION, 1500

Invention,

Date

Number.

Apr. 14, 1851. 450,550 Hame Attachment..

Inventor.

Abrama, W. B.

Allen, C. W.

Self-Leveling Table. Nov. 1, 1891. 613,436

Allen, J.B.

Clothes Line Support.

Dec. 10, 1895 551,105

Ashbourne, A. P... Process for Preparing Coceanut for Domestic Use.

June 1, 1875, 163,562

Ashbourne, A. P.

Biscuit Cutter..

Nov. 20, 1875 170,460

Ashbourne, A. P.

Refining Coconut Oil. July 27, 1850. 230,518

Ashbourne, A. P

Process of Treating Coconut

Ave 21, 1877. 194257

Corn Planter.

Oct. 14, 1834.

Balley, L. C...

Blair, Henry.

Hailey, L. C.. Folding Bed. July 18, 1899. 429,284

Bailes, Wm.

Combined Trass and Bandage.

Sept. 25, 1883 285545

Cotton Planter. Ave. 21, 1836.

Ladder Scaffold Support Aug. 5. 1879 218.154 Bailiff, C. O. Oct 11, 1608 612,008

Shampoo Headrest.

Ballow, W. J.

Combined Hatrack and Table Mar. 29, 1994. 401,422

Barnes, G. A. Ε.

Design for Sign..

Aug 15, 1898 29,133

Beard, A. J.

Rotary Engine.

July 5, 1892 478,271

Deard. A. J.

Car-coupler..

Nov. 23, 1897. 594.009

Becket, G. E.

Letter Box.

Oct. 4, 1892 433,525

Bell, L

Locomotive Hmoke Stack. May 23, 1871. 115.153

Bell, Broom Moisteners and Bridles. May 16, 1892. 407,747

Dough Kneader. Dee. 10, 1872. 123.823

Benjamin, Miss M.E.

Gong and Signal Chairs for Hotels, July 17, 1888 286,246

Blackburn. AB

Hallway Signal. Jan. 10, 1855376,362

Blackburn, A. I

Spring Sest for Chairs. Apr. 2. 1838 260,420

Blackburn. A. B

Cash Carrier. Oct. 22, 1888 391,577

Blue, L. Hand Corn Shelling Device. May 20, 1884. 298,937

Bings. M. W.

Street Sprinkling Apparatus. July 22, 1879. 217,843

H. E. Baker

Booker, L. F. Boone, Barab.

Design Itubber Seraping Knife Mar. 1899 30,404

Ironing Board. Apr. 26, 1892. 473,653

Bowman, H. A. Making Flags. Feb. 13, 1892.46335

Brooks, C. B.

Punch... Oct. 31, 1833. 507,072

Brooks, C. B.

Street-Sweepers. Mar. 17, 1896. 856,711

Brooks, С. П..

Street Sweepers. May 12, 1836 500.154

Brooks, Hallstead and Page.. Street Sweepers. Apr. 21, 1996. 558.719

Brown, Henry. Receptacle for Storing and Preserv

ing Papers.... Nov. 2, 1886. 352,006
 
Back
Top Bottom