Hivi waamuzi wetu wameangalia CHAN kweli au tutegemee "makosa ya kibinadamu"kama kawaida!?

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
11,915
Reaction score
28,284
Offside kwa mbaaaaali......si tunanufaika na marudio ya picha ...... of course ila ni very tight .......kosa ni la line one.....n.k ni kauli ambazo hutawala vinywa vya wachambuzi pale wanapochambua ligi ya Tanzania bara ,kauli kama hizo kwenye mashindano ya chan hatukuziona kabisa au zilikuwa kidogo mno tena wakati mwingine hazikuwa na uhalisia

Je waamuzi wetu waliona weledi na uadilifu ule ama tutegemee team zikishinda kwa "udi na uvumba"yangu macho
 
unaijua TII EFU EFU ya Karia wewe?

lazima makolo wabebwe kama kawa!
 
Back
Top Bottom