Kinachowafanya wazungu waitawale Dunia kwa kila kitu la kwanza ni kuwa Jamii yao ina idadi kubwa ya watu wenye kipato kizuri tafauti na sehemu nyengine yoyote katika dunia, hivyo kuzifanya nchi zao kuwa na mzunguko mzuri wa biashara katika jambo lolote lile. Ni kweli waarabu wanatumia pesa lakini return yao ni ndogo sana, wakati wazungu hela wanayotumia mara nyingi hurudi na faida kupata. Jengine Dunia kwa ujumla umelewa na Umaghaibi, mfano mdogo ni sisi wenye tu tunavyoleta shobo na kila kinachotokana na magharibi. Jamaa wataendelea kuitawala dunia tu hatuna jinsi unless kwa umoja wetu Waafrica na wa Asia tukiamka na kuamua tutaweza kuwa challenge.