Hivi wachaga kwa nini mkifiwa Dar hamweki matarumbeta

Hivi wachaga kwa nini mkifiwa Dar hamweki matarumbeta

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
HABARINI WACHAGA WOTE
JAMVINI

NIMEPATA KUHUDHURIA MISIBA KADHAA YA WACHAGA IKISAFIRISHWA KWENDA MOSHI

SWALILANGU KUU JAMANI MBONA TUKIWA DAR HAMUWAWEKEI MAREHEMU MATARUMBETAA

TUKIFIKA PALE HIMO AMA NJIA PANDA TUNAPOKELEWA NA MATARUMBETA KAMA YOTE??WHY???

HAMWONI HAMUWATENDEI HAKI MAREHEMU..NA MKIJUA NYIE PIA MAREHEMU WATARAJIWA(SIOWOTE ANGALIZO)

USIKUMWEMA

LALENI NA HILO SWALI..MNATUCHOSHA TUNATAKA MATARUMBETA NA DAR

WENU
KATIBU WA WAFIWA WOTE DAR ES SALAAM
 
Jpili keki ya upako jamani kawe
unataka mtoto njoo
Ndoa imechangamka njoo
Umeme umekata kwa mama ama baba njoo

Mwisho wa mwezi
"Mkesha usiosahaulika"

tukumbushane pia kirohoo kuponya roho zetu
 
Ni kwa sababu ya kushangilia na kusherehkea kupata fursa ya 'kudumisha mila', You know what I mean au siyo? Ni wakati muafaka wa kufanya ufuska ndugu kwa ndugu kama kawaida yao wajalaana hawa.
 
Jpili keki ya upako jamani kawe
unataka mtoto njoo
Ndoa imechangamka njoo
Umeme umekata kwa mama ama baba njoo

Mwisho wa mwezi
"Mkesha usiosahaulika"

tukumbushane pia kirohoo kuponya roho

Ni kwa sababu ya kushangilia na kusherehkea kupata fursa ya 'kudumisha mila', You know what I mean au siyo? Ni wakati muafaka wa kufanya ufuska ndugu kwa ndugu kama kawaida yao wajalaana hawa.
Takbiiiirrrr

Duh
 
HABARINI WACHAGA WOTE
JAMVINI

NIMEPATA KUHUDHURIA MISIBA KADHAA YA WACHAGA IKISAFIRISHWA KWENDA MOSHI

SWALILANGU KUU JAMANI MBONA TUKIWA DAR HAMUWAWEKEI MAREHEMU MATARUMBETAA

TUKIFIKA PALE HIMO AMA NJIA PANDA TUNAPOKELEWA NA MATARUMBETA KAMA YOTE??WHY???

HAMWONI HAMUWATENDEI HAKI MAREHEMU..NA MKIJUA NYIE PIA MAREHEMU WATARAJIWA(SIOWOTE ANGALIZO)

USIKUMWEMA

LALENI NA HILO SWALI..MNATUCHOSHA TUNATAKA MATARUMBETA NA DAR

WENU
KATIBU WA WAFIWA WOTE DAR ES SALAAM
Hebu jaribu ufe basi tukupigie tarumbeta la kufa mtu.
 
Jpili keki ya upako jamani kawe
unataka mtoto njoo
Ndoa imechangamka njoo
Umeme umekata kwa mama ama baba njoo

Mwisho wa mwezi
"Mkesha usiosahaulika"

tukumbushane pia kirohoo kuponya roho zetu
Upepo wa kisulisuli utakuwepo kwa Wadada?
 
Dar Kwa wazaramo na wazaramo sio watani wawachaga ili ufanye hivyo itakugharimu gharama kubwa

ujuavyo wachaga Kwa kubana matumizi
 
Back
Top Bottom