HIVI WACHAWI HUWA WANAMSAADA GANI KWENYE VITA VYA LEBANON NA GAZA?

HIVI WACHAWI HUWA WANAMSAADA GANI KWENYE VITA VYA LEBANON NA GAZA?

Me mpaka leo Dua/maombi hayajawahi saidia kwenye vita....ila science
 
ulitaka tunguli za kichawi zitumike kwenye hiyo vita?
 
Hawa watu huwa wana msaada gani? Maana mbona science ndio inaonekana ndio kila kitu...si dini wala uchawi unaweza kusaidia
FB_IMG_1729599095307.jpg
FB_IMG_1729390655849.jpg



Nyau de adriz
 
Back
Top Bottom