Hivi wachungaji kama hawa wenye roho mbaya kwasisi wachungaji wapya wapewe adhabu gani?

Hivi wachungaji kama hawa wenye roho mbaya kwasisi wachungaji wapya wapewe adhabu gani?

NgerukeAbra

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
4,253
Reaction score
5,789
Inatia uchungu sana mwaka jana nilinunua kiwanja ekari tatu maeneo ya kibaha na mwaka huu mwezi wa tano nimeanza kujenga kanisa langu na nina amini nitapata wafuasi wengi kama akina kuhani mkuu, kiboko ya wachawi, Suguye,Mwamposa n.k.

Sasa kuna hawa wachungaji ambao inaonekana kabisa wanachuki za wazi dhidi yetu sisi wachungaji ambao tumejitoa kutangaza neno la bwana na kukusanya sadaka ya Mungu kwa kutumia akili nyingi sana.

Nina imani Mungu atanisimamia na sitakatishwa tamaa na mchungaji huyu ambaye nimeweka video zake hapo chini.


​
 
Shekhe kale ubwabwa na Tende

Kwenye matengenezo ya kikristo hakuna tune yako
 
Back
Top Bottom