Hivi wadau hivi vitu used vya Chris Lukosi ni original na vipo vizuri?

Hivi wadau hivi vitu used vya Chris Lukosi ni original na vipo vizuri?

Vitu ni used na OG pia ni vzr. Kikiwa n Changamoto unaambiwa hapo hapo.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Dah aisee laiti ningekuwa na free time ningehudhuria kwenye huo mnada wa jmos
 
Natamani kupata dungu la tv na simu. Na je mliowahi kwenda kununua madungu. Je Kuna simu aina zipi?
 
Back
Top Bottom