DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
check Facebook then ukimaliza utaona WhatsApp number yakeTutapata wapi mawasiliano yake, maana wengine tupo mikoani
Mnada wa TV Ni lini?Dah jumamosi Kuna mnada wa simu na computer itabidi niende
Dah jumamosi Kuna mnada wa simu na computer itabidi niende
ulidhaambiwa used unaulizaje ni vizuri! we tizama kinakufaa chukua kibovu katengenezeMdau uliyewahi kununua vitu used kutoka kwa Chris Lukosi tupe ushuhuda
Nadhani sijui ni hiyo siku nimeona kwenye page yake ya InstagramMnada wa TV Ni lini?
KC BunjuMNADA NI WAPI LINI NA SAA NGAPI
WapiDah jumamosi Kuna mnada wa simu na computer itabidi niende
BunjuWapi
Nimenunua tv, najuta. Ana kautapeli flani ka kiaina.Mdau uliyewahi kununua vitu used kutoka kwa Chris Lukosi tupe ushuhuda
Shida nini?Nimenunua tv, najuta. Ana kautapeli flani ka kiaina.