Hivi wafanyakazi wa Clouds radio/tv hamna sehemu nyingine ya kujipiga picha?

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,746
Nipo katika likizo ya kiajira, hivo basi nimeona nitumie likizo yangu kuchangamsha ubongo kwa hoja nyepesi nyepesi.

Nipo hapa maskani kwangu nikitazama wasafi tv wakati huo huo nikitembelea kurasa mbalimbali za macebrity wa kibongo huku nikiji update kuhusu story mbalimbali zinazo trend town.

Nikiwa katika mitandao ya kijamii, nakutana na baadhi ya picha za watangazaji mbalimbali wa clouds radio/tv.

Baada ya kuunganisha dot, nagundua picha zao japo zimepigwa nyakati tofauti tofauti,zote zimepigwa katika eneo moja katika jengo lao.

Nimejiuliza, ina maana jengo la clouds ni dogo sana au lina uhaba wa eneo kubwa kiasi kwamba watangazi hao wapige picha eneo hilo hilo kila siku?

Watangazi wa clouds, nauliza , hapo nyuma kwenye huo mnara panawavutia nini karibuni tujadili hoja ya kikuda hoja nyepesi.

hizi ni baadhi tu ya picha.
 
ni kweli lakini ikizidi sana inakuwa shida, unaweza shindwa kukaa sehemu nyingine yenye code of conduct tight za mavazi....
so inatakiwa wewe mwenyewe ujue unavaa vipi...

ukienda sehemu ingine utafata hizo code za eneo hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…