Hivi wafanyakazi wa Clouds radio/tv hamna sehemu nyingine ya kujipiga picha?

Hivi wafanyakazi wa Clouds radio/tv hamna sehemu nyingine ya kujipiga picha?

Itakuwa juu ya ghorofa. huwa nisehemu nzuri kupigia picha.
 
wasafi tv kwa sasa inapatikana katoka king'amuzi cha azam chaneli number 122.
View attachment 736188

NB:
azam tv inatoa huduma ya paid tv na sio free to air.
bila shaka umenielewa.
Nimekuelewa mkuu nilijua hiyo TV ni FTA kumbe ya kulipia...siwezi kutoa hela yangu nikanunua matangazo ya TV za Tanzania...not worth my money..
Waweke iwe FTA tutaicheki kwenye Digital Receiver tuwape sapoti wapate wadhamini otherwise endeeleeni kuwachangia hela zenu mi zangu zina kazi nyingine
 
Hawa kama ni watanganzaji hawana tofauti na vibaka uvaaji gani huo waangalie mfano mzuri kama wakina Salimu Kikeke
 
Nipo katika likizo ya kiajira, hivo basi nimeona nitumie likizo yangu kuchangamsha ubongo kwa hoja nyepesi nyepesi.

Nipo hapa maskani kwangu nikitazama wasafi tv wakati huo huo nikitembelea kurasa mbalimbali za macebrity wa kibongo huku nikiji update kuhusu story mbalimbali zinazo trend town.

Nikiwa katika mitandao ya kijamii, nakutana na baadhi ya picha za watangazaji mbalimbali wa clouds radio/tv.

Baada ya kuunganisha dot, nagundua picha zao japo zimepigwa nyakati tofauti tofauti,zote zimepigwa katika eneo moja katika jengo lao.

Nimejiuliza, ina maana jengo la clouds ni dogo sana au lina uhaba wa eneo kubwa kiasi kwamba watangazi hao wapige picha eneo hilo hilo kila siku?

Watangazi wa clouds, nauliza , hapo nyuma kwenye huo mnara panawavutia nini karibuni tujadili hoja ya kikuda hoja nyepesi.

hizi ni baadhi tu ya picha. View attachment 736025View attachment 736026View attachment 736027View attachment 736028View attachment 736030View attachment 736032
Fake ur fake
 
kwa nature ya kazi yao mimi naona sawa tu.
kwa nature ya kazi za wakina amber lulu, Gigy... na video zilizo fungiwa vipi... kwanini nayo isiwe sawa tu... au hii sawa tu ina baadhi ya maeneo mkuu....
 
Lakin hilo halina tatizo kwakuwa mtu anajivunia kuzini kwake kuliko kupigia picha Kilimanjaro hotel huku unafanyia kazi kwenye mgongo wa tembo
 
Nimekuelewa mkuu nilijua hiyo TV ni FTA kumbe ya kulipia...siwezi kutoa hela yangu nikanunua matangazo ya TV za Tanzania...not worth my money..
Waweke iwe FTA tutaicheki kwenye Digital Receiver tuwape sapoti wapate wadhamini otherwise endeeleeni kuwachangia hela zenu mi zangi zina kazi nyingine
basi sawa mpenda kitonga.[emoji23]
 
Back
Top Bottom