Hivi Waganda wana tatizo gani?

Hongera rodi rofa mm kwangu lugha pekee ninayo thamini ni lugha ya logic basi mambo ya R L H kuchanganya siyo kitu cha msingi

Mkuu

Upo hapa kutetea lugha mbovu?

Lugha mbovu ni kugha mbovu!

Haijalishi sijui kipato chako,lugha yako sio sanifu!

Lugha sanifu haina uhusiano na kipato chako!

By the way:

Rodi Rofa = Lodi Lofa

Sijui shule ulipitia wapi?

Ndio upumbavu huu wa shule za Magufuli
 
Nyinyi ndiyo wale maprofesa feki mliojaa vyuoni kazi nikufuga ndevu wasomi wa Tanzania wana elimu ila hawana akili nikama kitabu tu
Kitabu kinaelimu ila hakina akili
Ndiyo kama wewe your nothing
 
Nyinyi ndiyo wale maprofesa feki mliojaa vyuoni kazi nikufuga ndevu wasomi wa Tanzania wana elimu ila hawana akili nikama kitabu tu
Kitabu kinaelimu ila hakina akili
Ndiyo kama wewe your nothing

Nani kakwambia mimi ni Profesa?

Nani kamwambia mimi nafundisha?

Pia nani kakwambia kuwasemea vibaya maprofesa kuna kusaidia lolote?

Maprofesa ni watu kama wewe,ila wamekuzidi elimu!

Kama wewe unaona eti wao kukuzidi elimu ni kosa basi utakua na matatizo sana!

Una tatizo kubwa sana la kuonea wivu watu waliokuzidi vitu ambavyo huna,kama elimu,akili,hela,etc!

Una matatizo sana aisee
 
Kelele zilikua wa Tz ni ma drug lord, naona una badili maneno ili ya fit mazingira yako. Anyways mimi nimeshakutana na wakenya mazezeta wakutosha so hizi pang'ang'a zako naona unajifurahisha tu. Wakati fulani nilikua Ug watu waliokuwa wanaogopwa kwa ujanja walikua wa Tz mpaka ma askari walikua wanasema wa Tz mnajua sana kupanga maneno tunapo wakamata. Labda kama unaongelea usela mavi, kwa hilo wa Tz hatuna.
 

Hilo la polisi kutokupenda kukamata Watz lipo hata Kenya niliwahi kuliskia, kwamba Mtz akikamatwa atajitetea kwa maneno maneno mengi hadi unamhurumia, mpaka utaona kama unamdhulumu maskini na kumuacha aende zake hata kama alikua kwenye makosa,
 
Nanikakuambia wamenizidi elimu maana elimu zipo hadi za uchawi
 
Wajaluo wa Kenya kwa sifa yani kupitia watu wa Uganda mpka tumejua unawatoto wanazungumza kifaransa
 
Nanikakuambia wamenizidi elimu maana elimu zipo hadi za uchawi

Uchawi ni elimu na kila kitu tunavyofanya kama wanadamu ni elimu!

Ila kuna elimu rasmi na isiyo rasmi!

Uchawi ni elimu isiyo rasmi!

Wizi,umalaya,etc ni elimu zisizo rasmi maana hazina bodi zenye mandate ya ku regulate na kutoa vyeti na kupima ubora wake!

Kwenye elimu rasmi umepitwa!

Kwenye elimu zisizo rasmi wewe unadai hujapitwa,who knows?

Na who cares about elimu isiyo rasmi?

Keep it for yourself!
 
Nani kanipita hao maprofesa feki ! Maprofesa wa kuongea ingilishi kama muzungu ,huo ujinga tumewaachia wakenya kuongea inglishi hadi unalegeza tako kumlidhisha mzungu
 
Nani kanipita hao maprofesa feki ! Maprofesa wa kuongea ingilishi kama muzungu ,huo ujinga tumewaachia wakenya kuongea inglishi hadi unalegeza tako kumlidhisha mzungu

Maprofesa feki kwa kutumia vigezo vipi bwashee?

Hebu vitoe tuvione!
 
Kila mtu huchangia humu kwa mtazamo wake, hivyo isikupe stress, ila kusema Waganda wana aibu utakua unadanganya, wao hujimix sana na wana ujasiri, sio kama nyie waoga waoga, Mtanzania akiwa nje ya nchi ni mwoga sana.
Ila hapa hatupo nje ya nchi mzee tupo jf
 
Nikama kitabu tu chenye elimu lakini hakiwezi kufanya kitu chochote

Mwanadamu mwenye utashi unamfananisha na non-living thing ka kitabu??

Kitabu ni storage device kama ilivyo flash au CD!

Unafananisha maembe na mafenesi vitu viwili tofauti kabisa!
 
Mwanadamu mwenye utashi unamfananisha na non-living thing ka kitabu??

Kitabu ni storage device kama ilivyo flash au CD!

Unafananisha maembe na mafenesi vitu viwili tofauti kabisa!
Tena bora ya kitabu chenye elimu kuliko maprofesa wetu.maana profesa wa tz ni
TZ PROFESA= ELIMU + UPUMBAVU
 
Tena bora ya kitabu chenye elimu kuliko maprofesa wetu.maana profesa wa tz ni
TZ PROFESA= ELIMU + UPUMBAVU

Na wewe unaeongea hivyo ni top genius?

Maana wewe ni hewa jumlisha hewa halafu sijui unapata wapi hii authority ya kuita wengine “wapumbavu”?

These are wonders!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…