Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Waganda ni kama walokole tu... Wale walokole haswa acha hawa wanaookolewa na kina zumaridiWaganda ni watu wanaojisikia sana na kujiona wako class tofauti na watu wengine wa east Africa, ndio maana sio jamii forum peke yake bali hata kwenye maisha ya kawaida Waganda hawachangamani sana na wengine kama vile sisi wa TZ tunavyojichanganya na wakenya...
Ndiyo ni genius kwa sababu nafanya kazi ambazo ma IT na maenjinia wa electronic hawaziwezi nandiyo zinaniingizia kipato hao ma IT wakipata kazi wananiletea nawafanyia kisha wananilipa wanaonekana ni wao wamefanyaNa wewe unaeongea hivyo ni top genius?
Maana wewe ni hewa jumlisha hewa halafu sijui unapata wapi hii authority ya kuita wengine βwapumbavuβ?
These are wonders!
Ndiyo ni genius kwa sababu nafanya kazi ambazo ma IT na maenjinia wa electronic hawaziwezi nandiyo zinaniingizia kipato hao ma IT wakipata kazi wananiletea nawafanyia kisha wananilipa wanaonekana ni wao wamefanya
Tunashukuru kwa ushauri mkikuyu...Tatizo lipo kwenye lugha, mnalazimisha Kiswahili kwa kila mtu, nakumbuka humu walikua wanakuja Wanijeria na watu wa Afrika Kusini, mada inajadiliwa kwa Kingereza, Watanzania wanajibu jibu humo kwa Kiswahili hadi jamaa wanahisi kama wamebaguliwa.
Mnafaa mjifunze kuwa na uwezo wa kuzungumza lugha kadhaa, sio unadumaa kwenye lugha moja miaka yote, akija mtu wa Ghana unatema yai, akiibuka Mkenya unabadilisha na kutiririka Kiswahili. Ujanja wa lugha ni kitu cha muhimu. Na pia hata sayansi imebaini kwamba watu wenye uwezo wa kuongea lugha zaidi ya moja huongeza akili na maarifa.
Sisi Wakenya tunachangamkia lugha zetu za asili, pia Kiswahili na Kingereza, hapa nyumbani wanangu wanaachia hadi Kifaransa na kuniacha nimedata, ukizingatia pia nimekua nahakikisha wanaongea lugha yangu ya asili yaani Kikikuyu.
Kwenu huko hadi mkulu ameogopa kutoka ndani ya nchi akidai kubana matumizi, ila inafahamika tatizo lipo kwenye lugha maana kule kwa mabeberu bila kutema yai mambo hayaendi. Leo hii hata Wachina na Warusi wote wanahangaika kujifunza Kingereza.
hata mm nilitaka nishangae eti 80% ya waganda hawajui kiswahiliMleta mada ni Mbongo, waganda tukija na kutoa mada zetu kwa lugha yetu mnaanza kutuponda so tunaaamua kuwaaangalia jinsi mnavyojisifia, kwa kujisifu mko juu saana, na ambaye anadhani kuwa hatujui kiswahili yawezeka ako na fikilia bado tuko miaka ya 1980 na sio 2019
ujinga jijnga mwingi sana kwa wa tz sana wajingajinga hivi hamjasoma km wao, shida nyingi kulialia tu, mnachojua vita ya vichambo, uchawi sanaWaganda ni watu wanaojisikia sana na kujiona wako class tofauti na watu wengine wa east Africa, ndio maana sio jamii forum peke yake bali hata kwenye maisha ya kawaida Waganda hawachangamani sana na wengine kama vile sisi wa TZ tunavyojichanganya na wakenya...
Wewe utakuwa mganda....Mna majung
ujinga jijnga mwingi sana kwa wa tz sana wajingajinga hivi hamjasoma km wao, shida nyingi kulialia tu, mnachojua vita ya vichambo, uchawi sana
HPN MKURUWewe utakuwa mganda....
Asikudanganye mtu Wabanganda hawawapendi Watanzania na Kiswahili kwa ujumla! Wote niliopata kukutana nao wanadai Nyerere aliwadhulumu kwa kuwa rafiki wa Obote na kuwanyima fursa ya kuitawala Uganda kama kabila kubwa. Pia wanaichukia TPDF na mtoto wake UPDF! Kingine suala la Uganda ku-support infrastructure kuja Tanzania ina sura nyingi! Na imetokana na topographic nature na geopolitics of the region!
Ironically If it was for Museveni wishes all SGR to Rwanda n South Sudan would have to pass through Uganda first, meaning an exposure of the future of these 2 countries to another landlocked country while strategically giving Uganda a more influence on regional affairs!
A thing these 2 countries find securitywise unpragmatic since each can have access to the sea direct through one coastal country n hence minimising the risk to bargain with 2 regimes to access the seas! As for Rwanda has already backed down from COW said to be the reason for their recently bad blood with Uganda as Museveni feels his economic big agenda for the region is betrayed! But South Sudan is left hanging due to its instability at home n a strong grip by Museveni on its affairs.
Another issue here is indecisiveness by Kenya as it's was left hanging with no choices on where to put much weight. Her neglect of her Northern frontier made them vulnerable to Uganda chess game as far as south Sudan is concerned! Insecurity up north couldn't help it either.
Kenya wants both south Sudan n Uganda n counted heavily on Uganda's generosity towards LAPSSET not knowing South Sudan is Museveni's token to his economic n geopolitical influence. Any access to that country outside Uganda is a threat to Uganda's interests there having invested on infrastructure! A reason they gunned for a pipeline to Mombasa during route negotiations.
To me the opportunities to Tanzania availed itself on silver platter due to first, the contradicting self interests btn Museveni n Kagame in one side. And secondly the underestimation of Tanzania by Kenya towards Uganda's oil. Kenya believied it can't be bypassed n therefore failed to do effective diplomatic manouvres that could offer a win win scenario to Uganda's regional interests. Not to forget is how JPM capitalised on the situations by strategically vesting all the resources to the great Lake region from his first budget upon ascending to power.
As for now Uganda is playing cat n mouse game, her plan for SGR is shelved not instead took a loan to revamp railway to Gulu. Museveni knows Uganda is that bride wanted by two potential suitors n no matter what circumstances two SGRs will reach lake Victoria though who will be first is unknown!
Unlike JK's era that put much emphasis to the Southern gas resources, JPM is playing a waiting game n the recent floods that destroyed much of Nacala port in Mozambique have come to his aid in disguise! The momentum to first LNG by multinational companies at Cabo Delgado in Mozambique has cooled down.
Even attempts by rival Kenya to draw Tanzania's attention to the south through bypassing central corridor is quashed! All landlocked countries of Malawi, Zimbabwe n Zambia r back in full gear back to Dar port giving more time to Mtwara port expansion n a remaining road link to Malawi to finish. Who knows probably a railway will come after as Malawi seem enticed with her massive coal needs a shorter gateway to overseas.
Nani kakuambia!Waganda wapo nyuma sana hapa east Africa
Waganga Wana Ile Hali ya kujiskiaHata mimi niliwahi kujiuliza hili swali
Mbona ndugu zetu wa Uganda hawajichanganyi na sisi?
Sina hakika kama niko jukwaa sahihi. Hawa watoto wa Museveni mbona jukwaa lao limepooza sana tofauti na Wakenya ambao tunawaona hadi chitchat? Baba yao kawakataza kutumia internet au ndio wako busy sana kujenga taifa lao? Pengine kiswahili ni tatizo pia? Au bado wanaendeleza bifu la mwaka 1978-79www.jamiiforums.com
Mkulu nini eti πππππngoja wakujue wazee wa lumumbaTatizo lipo kwenye lugha, mnalazimisha Kiswahili kwa kila mtu, nakumbuka humu walikua wanakuja Wanijeria na watu wa Afrika Kusini, mada inajadiliwa kwa Kingereza, Watanzania wanajibu jibu humo kwa Kiswahili hadi jamaa wanahisi kama wamebaguliwa.
Mnafaa mjifunze kuwa na uwezo wa kuzungumza lugha kadhaa, sio unadumaa kwenye lugha moja miaka yote, akija mtu wa Ghana unatema yai, akiibuka Mkenya unabadilisha na kutiririka Kiswahili. Ujanja wa lugha ni kitu cha muhimu. Na pia hata sayansi imebaini kwamba watu wenye uwezo wa kuongea lugha zaidi ya moja huongeza akili na maarifa.
Sisi Wakenya tunachangamkia lugha zetu za asili, pia Kiswahili na Kingereza, hapa nyumbani wanangu wanaachia hadi Kifaransa na kuniacha nimedata, ukizingatia pia nimekua nahakikisha wanaongea lugha yangu ya asili yaani Kikikuyu.
Kwenu huko hadi mkulu ameogopa kutoka ndani ya nchi akidai kubana matumizi, ila inafahamika tatizo lipo kwenye lugha maana kule kwa mabeberu bila kutema yai mambo hayaendi. Leo hii hata Wachina na Warusi wote wanahangaika kujifunza Kingereza.
Sebhoo nyaboo , Mukwano njagala ngungambile Ku JFKwa nini Waganda siyo wengi JamiiForums au hawafahamu kuwa kuna JF inayozungumzia maswala ya Afrika Mashariki, tatizo nini maana hapa EA news hata Kingereza kinatumika?
Wanatabia kama wale ndugu zetu wa BKWaganda ni watu wanaojisikia sana na kujiona wako class tofauti na watu wengine wa east Africa, ndio maana sio jamii forum peke yake bali hata kwenye maisha ya kawaida Waganda hawachangamani sana na wengine kama vile sisi wa TZ tunavyojichanganya na wakenya...
Tatizo lipo kwenye lugha, mnalazimisha Kiswahili kwa kila mtu, nakumbuka humu walikua wanakuja Wanijeria na watu wa Afrika Kusini, mada inajadiliwa kwa Kingereza, Watanzania wanajibu jibu humo kwa Kiswahili hadi jamaa wanahisi kama wamebaguliwa.
Mnafaa mjifunze kuwa na uwezo wa kuzungumza lugha kadhaa, sio unadumaa kwenye lugha moja miaka yote, akija mtu wa Ghana unatema yai, akiibuka Mkenya unabadilisha na kutiririka Kiswahili. Ujanja wa lugha ni kitu cha muhimu. Na pia hata sayansi imebaini kwamba watu wenye uwezo wa kuongea lugha zaidi ya moja huongeza akili na maarifa.
Sisi Wakenya tunachangamkia lugha zetu za asili, pia Kiswahili na Kingereza, hapa nyumbani wanangu wanaachia hadi Kifaransa na kuniacha nimedata, ukizingatia pia nimekua nahakikisha wanaongea lugha yangu ya asili yaani Kikikuyu.
Kwenu huko hadi mkulu ameogopa kutoka ndani ya nchi akidai kubana matumizi, ila inafahamika tatizo lipo kwenye lugha maana kule kwa mabeberu bila kutema yai mambo hayaendi. Leo hii hata Wachina na Warusi wote wanahangaika kujifunza Kingereza.
@eliakeem alokwambia waganda Wana aibu naniMK254,
Hiyo si sababu ya msingi, Bali ni mtazamo wako.
Waganda ni wenye aibu sana. Kwao siyo rahisi kujichanganya na wengine.