Hivi Waganda wana tatizo gani?

Waganda kwanza ni wamimi sana alafu kitu kingine huwa wana embress their locals language plus English only...they are not good with interractions ....so i dont surprised by them
 
Kwa nini Waganda siyo wengi JamiiForums au hawafahamu kuwa kuna JF inayozungumzia maswala ya Afrika Mashariki, tatizo nini maana hapa EA news hata Kingereza kinatumika?
Watakuwa na forums zao ambazo pia wakenya utawakuta wengi huko nao watakuwa wanashangaa kama wewe kwanini watanzania hatuko huko au shida kingereza
 
Siyo kweli mimi nimesoma na nimeisha uganda, na kuishi huko kwa miaka 6. Waganda wanawapenda sana watanzani na wakikuona Mtanzania wanakuwa friendly sana. Na pia wanapenda Kiswahili nimeshangaa sana uliposema kwamba wanachukia Watanzania siyo kweli hata kidogo.
Hao uliokutana nao sijui ni wangapi ila sehemu Mtanzania ukiwa Uganda utapata marafiki wengi tena wana feel proud kuwa rafiki yako kabisa.
 
Jamani sisi tunajisikia sana tuko juu kwa kutema Yai msituchezee kabisa! hatuna Muda na vilugha visivyokuwa na mashiko! Africa nzima sisi ndiyo tuko juu! kuongea kiingereza grammatically correct ni usipime! si unaona Mkapa alisomea huku! Mimi ni Mganda but Nyanya yangu Mkenya, mama Mtanzania.
 
Hehehe!! Sio masifa, nimeeleza wapi tatizo lilipo na kuwapa mifano ya Kenya inayopaswa kuigwa.
hatuna cha kuiga kenya, sasa tumewachoka, vya bure tz hamna, mtauza kwa shida, eti tukomboe kusini mwa afrika, tuikomboe uganda, NYAGAU ANAKULA SHUSHU NA BEBERU TU, LEO BIASHARA MNATAKA MFANYE NYIE, TUTAWANYOOSHA, BOMBA LA MAFUTA LINAWAUMA SANA, NA BADO MOMBASA ITAKUWA BANDARI YENU WENYEWE!!!!!!!! HAPA KAZI TU
 
Nilikaa uganda kwa wiki moja, nili-enjoy sana. Niwakarimu sana kwa wageni, very humble and friendly indeed! Pia wanatuheshimu sana watu kutoka Tanzania!
 
Well explained
 
Mimi kwa maoni yangu ni bora hata wangeweka Forum ya Rwanda/Burundi kuliko Uganda, kwani habari za Rwanda/Burundi hata ni nyingi zaidi klk za Uganda, Warundi/Nyarwanda TZ in wengi zaidi kuliko Waganda.
Na kiswahili wanaongea pia.JF changamkieni hii fursa ya kuweka subforums za Rwanda na Burundi
 
Kwa nini Waganda siyo wengi JamiiForums au hawafahamu kuwa kuna JF inayozungumzia maswala ya Afrika Mashariki, tatizo nini maana hapa EA news hata Kingereza kinatumika?
JF zaidi ni kiawahili na ni waganda wachache sana huongea kiswahili tofauti na Kenya. Kenya wazungumza English na Kiswahili karibia wanalingana tofauti na Uganda wazungumza zaidi English na Kiganda kiswahili ni kwenye majeshi zaidi sababu walifunzwa na Tanzania baada ya Amini kupinduliwa
 
Umeanza vizuri ila umemalizia vibaya (kishabiki)
 
Umeanza vizuri ila umemalizia vibaya (kishabiki)

Huwa siandiki nikiwa na kusudi la kumfurahisha kila msomaji, humu kila mmoja ana uhuru wa kuandika aonavyo kwa mtazamo wake na ndio maana imewakera sana wakulu wenu hadi wanamburuza mkurugenzi wa Jamii Forums mahakamani.
 
Interaction Kati ya Tz na Kenya. Hasa kwa active towns(cities) Ni kubwa kuliko ya UG.
Language pia inayotumiwa na Tz na Ke kwa kiasi kikubwa na moja. Eng. Na Kisw.

Na kwa mda Tz na Ke wote wamekua na freedom kubwa ya Expression na mengine.
Hatujui kuendako Kama itakua hivyo hivyo. Inawezekana hata one of our countries itapunguza kwa kiasi kushiriki mijadala ya humu.
 
Kwa nini Waganda siyo wengi JamiiForums au hawafahamu kuwa kuna JF inayozungumzia maswala ya Afrika Mashariki, tatizo nini maana hapa EA news hata Kingereza kinatumika?

Waganda wamechoka na kelele za wakenya!!
Ujue wakenya n wajinga wanapandikiza ujinga kwa nguvu kwa watu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimesoma nao USSR..walikuwa ni watu wakujiona sana, hawataki hata kuongea kiswahili...yaani utadhani sio wa east Africa...rafiki zangu wakikuwa wakenya tu.
Kwani kiswahili ni Lugha ya East Africa ama ni Tanzania na KE.

Tusipende kulaumu vitu vya kijinga, kila nchi iko na hasiri yake. Kwa upande wangu sioni kama kuna shida kwa waganda kutokuwanasi hapa JF.
 
Reactions: Qwy
Wamejaa hapa Kenya bro so sielewi unamaanisha Nini kuwa hawachanganyiki na watu wengine? Mganda akija Tz alafu uanze ze zez ze ze si unaona tayari atajiskia kubaguliwa.
Kiukweli Waganda wengi hawajui kiswahili kabisa, mim nimeishi nao South Africa na nilikuwa nimefanya nao kazi kwenye maofisi yao mbalimbali ni watu wenye upendo na jamii yote ya East Africa na hawakuwai kunibagua. ila wana ukaribu sana na Wakenya na hii yote ni kwasababu ya Lugha kutupiga chenga.
 
Kwani kiswahili ni Lugha ya East Africa ama ni Tanzania na KE.

Tusipende kulaumu vitu vya kijinga, kila nchi iko na hasiri yake. Kwa upande wangu sioni kama kuna shida kwa waganda kutokuwanasi hapa JF.
Unajuwa Kuna watu wengine Kama mafala, Sasa unawalazimisha kuongea kiswahili ikiwa sio Lugha yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…