Hivi Waganda wana tatizo gani?

Hivi Waganda wana tatizo gani?

Asikudanganye mtu Wabanganda hawawapendi Watanzania na Kiswahili kwa ujumla! Wote niliopata kukutana nao wanadai Nyerere aliwadhulumu kwa kuwa rafiki wa Obote na kuwanyima fursa ya kuitawala Uganda kama kabila kubwa. Pia wanaichukia TPDF na mtoto wake UPDF! Kingine suala la Uganda ku-support infrastructure kuja Tanzania ina sura nyingi! Na imetokana na topographic nature na geopolitics of the region!

Ironically If it was for Museveni wishes all SGR to Rwanda n South Sudan would have to pass through Uganda first, meaning an exposure of the future of these 2 countries to another landlocked country while strategically giving Uganda a more say in regional economics!

A thing these 2 countries find securitywise unpragmatic since each can have access to the sea direct via one country n hence minimising the risk! As for Rwanda has already backed down from COW said to be the reason for their recently bad blood with Uganda as Museveni feels his economic big agenda for the region is betrayed! But South Sudan is left hanging due to its instability at home n a strong grip by Museveni on its affairs.

Another issue here is indecisiveness by Kenya as it's was left hanging with no choices on where to put much weight. Her neglect of her Northern frontier made them vulnerable to Uganda chess game as far as south Sudan is concerned! Insecurity up north couldn't help it either.

Kenya wants both south Sudan n Uganda n counted heavily on Uganda's generosity towards LAPSSET not knowing South Sudan is Museveni's token to his economic n geopolitical influence. Any access to that country outside Uganda is a threat to Uganda's interests there having invested on infrastructure! A reason they gunned for a pipeline to Mombasa during route negotiations.

To me the opportunities to Tanzania availed itself on silver platter due to first, the contradicting self interests btn Museveni n Kagame in one side. And secondly the underestimation of Tanzania by Kenya towards Uganda's oil. Kenya believied it can't be bypassed n therefore failed to do effective diplomatic manouvres that could offer a win win scenario to Uganda's regional interests. Not to forget is how JPM capitalised on the situations by strategically vesting all the resources to the great Lake region from his first budget upon ascending to power.

As for now Uganda is playing cat n mouse game, her plan for SGR is shelved not instead took a loan to revamp railway to Gulu. Museveni knows Uganda is that bride wanted by two potential suitors n no matter what circumstances two SGRs will reach lake Victoria though who will be first is unknown!

Unlike JK's era that put much emphasis to the Southern gas resources, JPM is playing a waiting game n the recent floods that destroyed much of Nacala port in Mozambique have come to his aid in disguise! The momentum to first LNG by multinational companies at Cabo Delgado in Mozambique has cooled down.

Even attempts by rival Kenya to draw Tanzania's attention to the south through bypassing central corridor is quashed! All landlocked countries of Malawi, Zimbabwe n Zambia r back in full gear back to Dar port giving more time to Mtwara port expansion n a remaining road link to Malawi to finish. Who knows probably a railway will come after as Malawi seem enticed with her massive coal needs a shorter gateway to overseas.
Kaka umetema madini ile mbaya. Am not changing the topic ila niseme tu kuwa JPM anaucheza vizuri huu chezo only those with brain will understand him.
 
Sijui mtaacha lini ushamba nyie wakenya
Wamejaa hapa Kenya bro so sielewi unamaanisha Nini kuwa hawachanganyiki na watu wengine? Mganda akija Tz alafu uanze ze zez ze ze si unaona tayari atajiskia kubaguliwa.
 
Wengi wenu mnazungumza kwa Kiswahili so Waganda hawakielewi.
Acha ushamba na ulimbukeni wewe! No kigezo gani umetumia kujua waganda hawajichanganyi hapa JF kisa lugha? Unafahamu ID za waganda wangapi hapa JF? Wangapi wako angalau active kidogo kwenye mada za hiyo lugha unayoitukuza?

In short JF haina coverage kubwa Hasa kwa Jamii ya waganda maana wangekuwepo hapa wangekuwa na subforum yao na kujadili. Kama hii ya Kenya. Halafu mbona kuna mada za kiingereza kibao tu hapa? Na tena nyingine zinazungumzia maslahi ya E.A na UG in particular ila huwezi kuwaona hapa wakichangia.

Lugha haiwezi kuwa kikwazo maana hata hao waganda hatuwaoni hata wakichungulia tu hapa.
 
Basi Max aende apige promo NTV au UBC watajaa. Haiwezekani Besigye na Bob Wine wanamchana M7 namna ile kwenye NTV halafu wasitumie jf. Nadhani wengi hawaijui. Sisi ndio tunashoboka tunadhani tuna booooo nge la mtandao ambao haujawai tokea Africa na duniani kote.
 
Yaani hadi leo hii hujajua kwamba kuna forum ya Uganda hapa Jf?
 
Basi Max aende apige promo NTV au UBC watajaa. Haiwezekani Besigye na Bob Wine wanamchana M7 namna ile kwenye NTV halafu wasitumie jf. Nadhani wengi hawaijui. Sisi ndio tunashoboka tunadhani tuna booooo nge la mtandao ambao haujawai tokea Africa na duniani kote.
N kwel n bonge la mtandao aisee. Hakuna Kama jf
 
Basi Max aende apige promo NTV au UBC watajaa. Haiwezekani Besigye na Bob Wine wanamchana M7 namna ile kwenye NTV halafu wasitumie jf. Nadhani wengi hawaijui. Sisi ndio tunashoboka tunadhani tuna booooo nge la mtandao ambao haujawai tokea Africa na duniani kote.

Kwanza hata Wakenya wenyewe hawaijui jamiiforums, hawa waliojaa hapa aidha wanaishi TZ au wana ukaribu na TZ, lkn Mkenya wa kawaida haijui wala hafungui jamii forums.

Mimi huenda huko mara kwa mara, kwanza nilishangaa kuhusu TZ wanamjua Magufuli tu, wengi hawajawahi hata kumsikia Majaliwa, Mama Samia au hata Mbowe au sijui Tundu Lisu na Zito Kabwe.
 
Mtapiga kelele tu waganda wana asili ya kujiona tu kama walivyo wahindi na hii ni asili tu wala hawajifosi kua hivyo

Hata Wakenya pia hawaijui jamiiforums, hawa mnaobishana nao hapa aidha wanaishi hapa kwetu au wanadili na TZ kila siku. Huwa niko Kenya mara kwa mara, hivyo najua Mkenya wa kawaida haijui jamiiforums.
 
Inawezekana ikawa kwel
 
Mkuu mbona unaenda nje ya mada,hapa tunazungumzia waganda wewe unaleta masifa ya wakenya...!
Msamehe bure, anauchungu sana na Tanzania huyo jamaa, baada ya kugundua Tanzania inawapiga bao kulia na kushoto, ameamua kuwa " bitter" na kujaribu kutumia kila chuki kujaribu kujiliwaza.

Ukabila umeisambaratisha Kenya, wakenya wenye akili timamu karibu wote wanasifia ni jinsi gani Tanzania imeweza kuunganisha nchi nzima kwa lugha ya Kiswahili na kuachana na lugha za makabila. Leo hii Magufuli anaweza kwenda popote na kuzungumza na wananchi bila kuhitaji mkalimani, hilo kwa Kenya haliwezikani.

Magufuli ameamua kubaki nchi ili kutatua matatizo ya wananchi, anazunguka nchi nzima, wakati Uhuru Kenyatta anazurura duniani na kukodi ndege za kifahari, wakati uchumi wa nchi unazidi kuzorota, deni la Kenya halilipiki, chakula hakuna, pesa za kulipa mishahara hakuna, migomo haikatiki, mfumuko wa bei unazidi kuongezeka, uliza safari za Uhuru Kenyatta zimesaidiaje kuongeza uzalishaji wa chakula na kupunguza being za UMEME na MAJI kwa wakenya?
 
Back
Top Bottom