Hivi Wahaya mmemkosea nini mungu?

Hivi Wahaya mmemkosea nini mungu?

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Hivi Wahaya (Bukoba) mmemkosea nini Mungu ati?
1978- UKIMWI ukaingia TZ kupitia kwenu umeua watu wa kutosha,
1978-vita na Uganda kwenu watu wakafa
1996- MV bukoba ikazama ikaua watu 508,
2016- Tetemeko la ardhi, kwenu tena ,
Hebu acheni dharau na majigambo basi mumrudie muumba wenu
 
No! This joke is in bad taste, it's bound to deeply offend some people.
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Hivi Wahaya (Bukoba) mmemkosea nini Mungu ati?
1978- UKIMWI ukaingia TZ kupitia kwenu umeua watu wa kutosha,
1978-vita na Uganda kwenu watu wakafa
1996- MV bukoba ikazama ikaua watu 508,
2016- Tetemeko la ardhi, kwenu tena ,
Hebu acheni dharau na majigambo basi mumrudie muumba wenu
huu sio utani mkuu
 
Huu utani haukustahili kuja siku kama ya leo...
Mkuu jitathimin kidogo, wee ni jipu!!
 
Back
Top Bottom