Umekutwa na nini ? Hio sio dhamira ya dini kugombanisha watu bali wapokea dini ndio wanaoleta hayo matatizo. Refresh your viewDini ni mpango wa shetani kubagua watu,kutengeneza chuki, uhasama na visasi
Kama dini ni mpango wa Mungu, kwanini walipoumbwa Adam na Hawa hawakupewa dini?tatizo hujui hata maana ya dini ni nn[emoji23]
Hizo dini walizipokea kutoka wapi?Umekutwa na nini ? Hio sio dhamira ya dini kugombanisha watu bali wapokea dini ndio wanaoleta hayo matatizo. Refresh your view
Muislam original ni yule anaefuata mafundisho ya Mwenyezi Mungu, Haijalishi anatoka wapi.Nauliza tu kwa wanazuoni na wabobezi wa maswala haya ya imani za kuabudu na kumtumikia Mungu.
Kwa mfano hapa Tanzania hizi dini tuliletewa tu kutoka huko zilikoanzia, ndio maana nauliza Uislam wa " ukweli " ni ule wa Palestina, Saudi Arabia au Iran?
Kuuliza siyo ujinga.
Ramadhan kareem!
Adam alikuwa na dini, wewe Una dini, mimi nina dini, kila mtu Ana dini. Dini ni mfumo wa maisha, unacho fanya toka umeamka mpaka unalala ndio dini.Hizo dini walizipokea kutoka wapi?
Uislam uko tokea enzi za Nabii Adam na mkewe HawaBwashee uislamu ulianzishwa na mtume.
Mtume alizaliwa Mecca Saudi Arabia kwa iyo asili ya uislam ni Saudia.
Hao waislamu wa israeli ni wavamizi ndo mana wanashurutishwa waondoke kwenye nchi ya ahadi.
DNA nyingi zinaonesha Wapalestina ni wayahudi wa zamani, Enzi na Enzi kulikuwa na inter marriage baina ya waisrael na waarabu,Bwashee uislamu ulianzishwa na mtume.
Mtume alizaliwa Mecca Saudi Arabia kwa iyo asili ya uislam ni Saudia.
Hao waislamu wa israeli ni wavamizi ndo mana wanashurutishwa waondoke kwenye nchi ya ahadi.
Kwanini Gabriel hakushusha dini bustanini Eden?Adam alikuwa na dini, wewe Una dini, mimi nina dini, kila mtu Ana dini. Dini ni mfumo wa maisha, unacho fanya toka umeamka mpaka unalala ndio dini.
Kuna dini za simba na yanga, kuna dini za uislamu, ukristo, dini za papuchi, dini za ushirikina etc.
Na dini zinazomuamini Mungu zimeshushwa na Malaika Gabriel/Jibril ambae alikuwa akiwasiliana na mitume.
Kutokana na wakati, jinsi civilization inavyo kua kunakuwa na changes zinaletwa kutokana na wakati, kwa imani yetu Quran ni kitabu cha mwisho, kabla ya quran kulikuwa na Taurat, zabur na Injili na kabla ya hapo kulikuwa na sahifa za mitume mingine, mfano sahifa ya Ibrahim. (sahifa ni kitini)Kwanini Gabriel hakushusha dini bustanini Eden?