Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Kama wangekuwa na akili wangelaumu kabisa , unachochewa na mtu hajui hata kukimbia ..Akili zao ziko kweny makalio hawajui nan wa kumlaumu.Kesho kutwa wakaandamane tena.
Kama wangekuwa na akili wangelaumu kabisa , unachochewa na mtu hajui hata kukimbia ..Akili zao ziko kweny makalio hawajui nan wa kumlaumu.Kesho kutwa wakaandamane tena.
Leo wanashobokea waliowaita mashekhe ubwabwa kenge hao .waislam wanaswali swala 5 kwa siku kila rakaa kuna dua, baada ya swala kuna dua na adhkaari, kuna adhkaari za asubuhi na jioni, hayo ya okt 29 kanisa ndio waliyapanga yatokee kwahiyo pambaneni na hali zenu, waislam walikuwa mstari wa mbele kuwaambia msiandamane na kanisa likawaambia nendeni muandamane kwahiyo msiwafate fate waislam kwa ujinga wenu.
mi nadhani ni unafiki mtupu gentleman,
mbona hatukuwaona na unafiki kama huu baada ya ajali ya MV BUKOBA NA MV NYERERE, ajali ya TRENI DODOMA na ajali mbalimabali za barabarani zinazoanganiza mamilioni ya waTanzania daily?
Mie nadhani madhehebu mengine ya kidini hawana sababu hata moja ya kua na unafiki kama hao makuwadi wa shetani
******* mpo wengi sana Ccm na Bar-kwata.madhabauni![]()
Kwamba hakuna ndugu na rafiki zetu waislam waliouwawa hiyo October 29?Mashekhe waliyajua haya, mkaambiwa msifanye vurugu yaani wamarudia mara nyingi , nyie na laana zenu mkawaita mashekhe ubwabwa , ulitaka wawaombee nyie wakaidi?
Leo mnawataka wale mashekhe ubwabwa, wenzenu wana akili walijua yatatokea , sasa nyie wachochezi mnabweka ..Hatuwezi kuungana na nyie mlivyoita mashekhe ubwabwa , ona kilichotokea .M
Acha ufala mnuka mdomo , wakati wanawaambia msifanye fujo mlijibu vipi? wamekuja mashekhe mara kadhaa kabla ya yote kutokea , mkawaita mashekhe ubwabwa , hiyo laana imewapata .
Kanisa halitaki muislamu
nawashangaa sanaLeo wanashobokea waliowaita mashekhe ubwabwa kenge hao .
Wewe kenge soma na ujibu ulichoulizwa. Umeulizwa “hakuna muislamu aliyeuliwa?”Tulishaona mbali , sisi sio wanafiki watawaombea hao waliowachochea..Si mliita watu mashekhe ubwabwa , mbona unawatafuta na nyege zako , si utulie !
Mlionhywa mara ngapi mkawa mnasikiliza kanisa?Sisi tunaomba mbali vijana , acheni shobo sio lazima kuungana na nyie mliotangulia kukutusi, yale yote ni madhara ya kuwaita mashekhe waliwapa wasoi wa kutofanya vurugu kwamba ni mashekhe ubwabwa, hiyo ni karma siku nyingine mtakuw na adabu.
hoja za kitoto na za kukaririshwa kama wimboMuislam Gani?
Kama kutekwa na kuuliwa hata waislam yamekuta mfano Ally kibao na Twaha
Waislam pia wanakufa Kwa kukosa madawa hospital?
Waislam pia wanakufa Kwa ajali kutokana na barabara mbovu
Waislam pia wanaibiwa kura kutokana na tume mbovu
Gentleman,******* mpo wengi sana Ccm na Bar-kwata.
Maeneo Kuu ya Ibada:
• Makaburi ya Igoma (Mwanza): Hili ndilo eneo kuu ambapo miili ya wahanga zaidi ya 240 ambao hawakuweza kutambuliwa ilizikwa kwenye makaburi ya pamoja. Kila mwaka, watu hukusanyika hapa kuwasha mishumaa, kuweka mashada ya maua, na kufanya ibada maalum ya kuwaombea.
• Mnara wa Kumbukumbu wa Bwiru (Mwanza): Mnara huu umejengwa karibu na eneo ameko meli hiyo ilipindukia na kuzama (takriban kilomita chache kabla ya kutia nanga). Pia hutumika kama alama ya ukumbusho wa kitaifa.
• Mkoani Kagera (Bukoba): Dua na misa maalum hufanyika pia mkoani Kagera, ikiwemo kwenye misikiti mikubwa kama Msikiti wa Istiqama Bukoba na makanisani, kwani meli hiyo ilikuwa inatokea huko kabla ya kupata ajali.
• Ushirikiano wa Kidini: Kumbukumbu hizi huendeshwa kwa misingi ya kiekumene na kidini (dua za Kiislamu na misa za Kikristo) kuonyesha umoja wa kitaifa katika kukumbuka roho za waliopoteza maisha.
• Lengo la Ibada: Mbali na kuwaombea marehemu wapumzike kwa amani ("Raha ya Milele uwape Eeh Bwana..."), ibada hizi hutumika kutoa faraja kwa familia zilizobaki, kusikiliza ushuhuda wa manusura, na kuikumbusha mamlaka za serikali kuendelea kuimarisha ulinzi na usalama wa vyombo vya usafiri wa majini ili majanga kama hayo yasitokee tena.
Ajali hiyo ya tarehe 21 Mei 1996 inasalia kuwa moja ya majanga makubwa zaidi ya majini katika historia ya Tanzania, ikipoteza maisha ya watu zaidi ya 800.
Watanzania leo wamefanya kumbukizi ya miaka 29 ya ajali ya ...
Watanzania leo wamefanya kumbukizi ya miaka 29 ya ajali ya kuzama kwa Meli ya MV. Bukoba iliyotokea Mei 21, 1996 katika Ziwa Victoria, ambapo wameiomba serikali...
Meli ya Mv Bukoba iliyokuwa ikitoa huduma ya usafiri wa mizigo na ...
21 May 2026 — Kumbukumbu Leo: Meli ya Mv Bukoba iliyokuwa ikitoa huduma ya usafiri wa mizigo na abiria katika Ziwa Victoria kati ya bandari ya Bukoba na Mwanza, tarehe 21 Mei...
#KUMBUKUMBU May 21, 1996, meli ya Mv Bukoba ilizama katika ...
21 May 2018 — #KUMBUKUMBU May 21, 1996, meli ya Mv Bukoba ilizama katika ziwa Victoria mkoani Mwanza na kuua watu zaidi ya 800. Rais wa Tanzania wa awamu ya tatu Ndg. Benjami...
Kuelekea kumbukumbu ya miaka 30 tangu kutokea kwa ajali ya MV ...
BUKOBA WAWAOMBEA DUA WALIOFARIKI KWENYE MV ...
BUKOBA WAWAOMBEA DUA WALIOFARIKI KWENYE MV BUKOBA Kufatia ajali ya meli ya MV BUKOBA iliyotokea tarehe 21 Mei,1996 siku ya Jumanne kama leo, na kupelekea vifo v...
#KUMBUKUMBU May 21, 1996, meli ya Mv Bukoba ilizama katika ...
21 May 2018 — #KUMBUKUMBU May 21, 1996, meli ya Mv Bukoba ilizama katika ziwa Victoria mkoani Mwanza na kuua watu zaidi ya 800. Rais wa Tanzania wa awamu ya tatu Ndg. Benjami...
Mwananchi
Mongella: Ajali ya Mv Bukoba ni kumbukumbu mbaya yenye funzo
17 Feb 2021 — Muktasari: Licha ya miaka 23 kupita tangu meli ya Mv Bukoba ilipopinduka na kuzama ndani ya Ziwa Victoria Mei 21, 1996, tukio hilo lililosababisha vifo vya watu..
Kumbukumbu ajali ya MV Bukoba, ilivyoua mamia ya watu
Dar es Salaam. Ni miaka 27 imepita sasa tangu Tanzania ikumbwe na simanzi kubwa baada ya ajali ya kuzama kwa meli ya MV Bukoba itokee Mei 21, 1996.
20 May 2021 — Tunawaombea ndugu zetu waliopoteza maisha katika ajali ya kuzama meli ya MV Bukoba, 21/5/1996, wapumzike kwa amani. Leo ni miaka 25 imepita tangu kutokea kwa ajali.
View attachment 3699677

Mo 29 ni kazi ya kanisa,waliratibu na kufadhili, ndiyo maana wakati wa uapisho wa rais padre alisema waliouawa wote peponi, vile vilikua vita vitakatifu vya msalaba,na baada ya vurugu waliokua wakitoa matamko kila siku ni TEC, baada ya mipango yao kukwamaDu! Ama kweli akili za kobaz ni moja na nusu. Wanazingatia vitu vidogo wanaacha vitu vikubwa!
Gentleman,
bado nasisitiza,
madhehemu muhimu ya dini nchini hayana sababu hata moja ya kuiga unafiki kwa makuwadi hao wa shetani, hali ya kua hawawajali kabisa, mpaka maalbino walio waua wao wenyewe ili watumie viuongo vya albino hao kupta uaskofu na vyeo kwenye makani yao, lakini mbaya zaidi hakuna hata moja kati yao, aliewahi kusema tumuombee albino huyo alieuawa kikatili na kasisi wa kikikrosto miongoni mwa makanisa haya ya kinafiki nchini Tanzania.
hiyo haitoshi,
makasisi kuwadhulumu vijana kingono na kuwaathiri kisaikolojia, hilo kwao ni kama haki ya msingi kabisa, halihitaji kuombewa na hawaoni haja ya kuwaombea vijana hao walioathirika na wanapitia mateso makali ya kisaikolojia mbele ya jamii zinazowazunguka
zaidi sana,
mabinti kupigwa mimba na kutelekezwa na makasisi hao walevi wanaojifanya kana kwamba wao ni wadogo zake Yesu Kristo wa Nazareth kumbe ni wanafik wa kutupwa, na mbwa mwitu wa kali, kwasababu nani asie jua kwamba wao ndio walichochea chuki, ghasia, uharibifu na kuhamasisha mauaji ya oct.2025.
ni wanafiki sana hao gentleman na haiwezekani kabisa kuwatetea waovu hao wa madhabahuni![]()
Shangingi la Ccm.Mo 29 ni kazi ya kanisa,waliratibu na kufadhili, ndiyo maana wakati wa uapisho wa rais padre alisema waliouawa wote peponi, vile vilikua vita vitakatifu vya msalaba,na baada ya vurugu waliokua wakitoa matamko kila siku ni TEC, baada ya mipango yao kukwama
MO29 ni vita vya msalaba,kwa hiyo ni kazi ya wapigia goti zege la bikira maria kuadhimishaShangingi la Ccm.
View attachment 3699691
MO29 ni vita vya msalaba,kwa hiyo ni kazi ya wapigia goti zege la bikira maria kuadhimisha
Sawa shekhe ubwabwa, 😄 natania usije niua bureWe fala , wakati mnaambiwa msifanye fujo ulikuwa unawaita mashekhe ubwabwa . Mlipewa wosia mzuri na mashekhe , leo mnabweka , peleka uthenge wako kwa waliokushawishi muandamane .
Mkome siku nyingine mashekhe wakiongea, ile kuwaita mashekhe ubwabwa sasa mko wenzenu wako futi sita ni laana ya mashekhe , waja wa laana nyie.
Elimu dunia ni muhimu sana aiseeMo 29 ni kazi ya kanisa,waliratibu na kufadhili, ndiyo maana wakati wa uapisho wa rais padre alisema waliouawa wote peponi, vile vilikua vita vitakatifu vya msalaba,na baada ya vurugu waliokua wakitoa matamko kila siku ni TEC, baada ya mipango yao kukwama
i hope hizi picha za wenyewe hazihusiani na hoja mahususi mezani riht gentleman?

Siyo wewe wala kimburu yoyote kwenu anayenifikia kwa elimu duniaElimu dunia ni muhimu sana aisee