Hivi waislamu wana kinga dhidi ya majanga?

Leo wanashobokea waliowaita mashekhe ubwabwa kenge hao .
 
madhabauni
******* mpo wengi sana Ccm na Bar-kwata.

Maeneo Kuu ya Ibada:
• Makaburi ya Igoma (Mwanza): Hili ndilo eneo kuu ambapo miili ya wahanga zaidi ya 240 ambao hawakuweza kutambuliwa ilizikwa kwenye makaburi ya pamoja. Kila mwaka, watu hukusanyika hapa kuwasha mishumaa, kuweka mashada ya maua, na kufanya ibada maalum ya kuwaombea.

• Mnara wa Kumbukumbu wa Bwiru (Mwanza): Mnara huu umejengwa karibu na eneo ameko meli hiyo ilipindukia na kuzama (takriban kilomita chache kabla ya kutia nanga). Pia hutumika kama alama ya ukumbusho wa kitaifa.
• Mkoani Kagera (Bukoba): Dua na misa maalum hufanyika pia mkoani Kagera, ikiwemo kwenye misikiti mikubwa kama Msikiti wa Istiqama Bukoba na makanisani, kwani meli hiyo ilikuwa inatokea huko kabla ya kupata ajali.

• Ushirikiano wa Kidini: Kumbukumbu hizi huendeshwa kwa misingi ya kiekumene na kidini (dua za Kiislamu na misa za Kikristo) kuonyesha umoja wa kitaifa katika kukumbuka roho za waliopoteza maisha.

• Lengo la Ibada: Mbali na kuwaombea marehemu wapumzike kwa amani ("Raha ya Milele uwape Eeh Bwana..."), ibada hizi hutumika kutoa faraja kwa familia zilizobaki, kusikiliza ushuhuda wa manusura, na kuikumbusha mamlaka za serikali kuendelea kuimarisha ulinzi na usalama wa vyombo vya usafiri wa majini ili majanga kama hayo yasitokee tena.

Ajali hiyo ya tarehe 21 Mei 1996 inasalia kuwa moja ya majanga makubwa zaidi ya majini katika historia ya Tanzania, ikipoteza maisha ya watu zaidi ya 800.

Watanzania leo wamefanya kumbukizi ya miaka 29 ya ajali ya ...
Watanzania leo wamefanya kumbukizi ya miaka 29 ya ajali ya kuzama kwa Meli ya MV. Bukoba iliyotokea Mei 21, 1996 katika Ziwa Victoria, ambapo wameiomba serikali...

Meli ya Mv Bukoba iliyokuwa ikitoa huduma ya usafiri wa mizigo na ...
21 May 2026 — Kumbukumbu Leo: Meli ya Mv Bukoba iliyokuwa ikitoa huduma ya usafiri wa mizigo na abiria katika Ziwa Victoria kati ya bandari ya Bukoba na Mwanza, tarehe 21 Mei...

#KUMBUKUMBU May 21, 1996, meli ya Mv Bukoba ilizama katika ...
21 May 2018 — #KUMBUKUMBU May 21, 1996, meli ya Mv Bukoba ilizama katika ziwa Victoria mkoani Mwanza na kuua watu zaidi ya 800. Rais wa Tanzania wa awamu ya tatu Ndg. Benjami...

Kuelekea kumbukumbu ya miaka 30 tangu kutokea kwa ajali ya MV ...


BUKOBA WAWAOMBEA DUA WALIOFARIKI KWENYE MV ...
BUKOBA WAWAOMBEA DUA WALIOFARIKI KWENYE MV BUKOBA Kufatia ajali ya meli ya MV BUKOBA iliyotokea tarehe 21 Mei,1996 siku ya Jumanne kama leo, na kupelekea vifo v...

#KUMBUKUMBU May 21, 1996, meli ya Mv Bukoba ilizama katika ...
21 May 2018 — #KUMBUKUMBU May 21, 1996, meli ya Mv Bukoba ilizama katika ziwa Victoria mkoani Mwanza na kuua watu zaidi ya 800. Rais wa Tanzania wa awamu ya tatu Ndg. Benjami...
Mwananchi

Mongella: Ajali ya Mv Bukoba ni kumbukumbu mbaya yenye funzo
17 Feb 2021 — Muktasari: Licha ya miaka 23 kupita tangu meli ya Mv Bukoba ilipopinduka na kuzama ndani ya Ziwa Victoria Mei 21, 1996, tukio hilo lililosababisha vifo vya watu..
Kumbukumbu ajali ya MV Bukoba, ilivyoua mamia ya watu

Dar es Salaam. Ni miaka 27 imepita sasa tangu Tanzania ikumbwe na simanzi kubwa baada ya ajali ya kuzama kwa meli ya MV Bukoba itokee Mei 21, 1996.

20 May 2021 — Tunawaombea ndugu zetu waliopoteza maisha katika ajali ya kuzama meli ya MV Bukoba, 21/5/1996, wapumzike kwa amani. Leo ni miaka 25 imepita tangu kutokea kwa ajali.

 
Kwamba hakuna ndugu na rafiki zetu waislam waliouwawa hiyo October 29?
 
Acha ufala mnuka mdomo , wakati wanawaambia msifanye fujo mlijibu vipi? wamekuja mashekhe mara kadhaa kabla ya yote kutokea , mkawaita mashekhe ubwabwa , hiyo laana imewapata .

Kwaiyo kwako
Kuiba kura✅
Kuteka, kubaka, kufira na mauaji ✅
Ufisadi ✅
Kuuza bandari, Ngorongoro ✅
Kubambikia kesi ✅

Na kobazi unaona iyo sawa, ila wanaopinga huo uhuni ndo wabaya.

Kwani wanaotekwa na kuuliwa hakuna waislam?
Yuko wap muislam Ally kibao
Twaha Mwaipaya

Wanaokosa maji, umeme, elimu Bora,maji na madawa hakuna waislam?.

Wanaokosa ajira hakuna kutokana na ufisadi na nepotism hakuna waislam?

Barabara mbovu kutokana na ufisadi zinaua wote waislam na wasio waislam.

Hao mafisadi hawaangalii dini ya mtu, wanawatesa nyote
 
Wewe kenge soma na ujibu ulichoulizwa. Umeulizwa “hakuna muislamu aliyeuliwa?”
 
Muislam Gani?
Kama kutekwa na kuuliwa hata waislam yamekuta mfano Ally kibao na Twaha

Waislam pia wanakufa Kwa kukosa madawa hospital?

Waislam pia wanakufa Kwa ajali kutokana na barabara mbovu

Waislam pia wanaibiwa kura kutokana na tume mbovu
hoja za kitoto na za kukaririshwa kama wimbo

huyo twaha alivyosema watu wakachome majengo ya ccm ndio maelekezo ya uislam?
 
Gentleman,
bado nasisitiza,
madhehemu muhimu ya dini nchini hayana sababu hata moja ya kuiga unafiki kwa makuwadi hao wa shetani, hali ya kua hawawajali kabisa, mpaka maalbino walio waua wao wenyewe ili watumie viuongo vya albino hao kupta uaskofu na vyeo kwenye makani yao, lakini mbaya zaidi hakuna hata moja kati yao, aliewahi kusema tumuombee albino huyo alieuawa kikatili na kasisi wa kikikrosto miongoni mwa makanisa haya ya kinafiki nchini Tanzania.

hiyo haitoshi,
makasisi kuwadhulumu vijana kingono na kuwaathiri kisaikolojia, hilo kwao ni kama haki ya msingi kabisa, halihitaji kuombewa na hawaoni haja ya kuwaombea vijana hao walioathirika na wanapitia mateso makali ya kisaikolojia mbele ya jamii zinazowazunguka

zaidi sana,
mabinti kupigwa mimba na kutelekezwa na makasisi hao walevi wanaojifanya kana kwamba wao ni wadogo zake Yesu Kristo wa Nazareth kumbe ni wanafik wa kutupwa, na mbwa mwitu wa kali, kwasababu nani asie jua kwamba wao ndio walichochea chuki, ghasia, uharibifu na kuhamasisha mauaji ya oct.2025.

ni wanafiki sana hao gentleman na haiwezekani kabisa kuwatetea waovu hao wa madhabahuni
 
Du! Ama kweli akili za kobaz ni moja na nusu. Wanazingatia vitu vidogo wanaacha vitu vikubwa!
Mo 29 ni kazi ya kanisa,waliratibu na kufadhili, ndiyo maana wakati wa uapisho wa rais padre alisema waliouawa wote peponi, vile vilikua vita vitakatifu vya msalaba,na baada ya vurugu waliokua wakitoa matamko kila siku ni TEC, baada ya mipango yao kukwama
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1792417056139.jpg
    78.1 KB · Views: 6
Mimi naona kuwahusisha Waislam wote unakosea. Ungewataja moja kwa moja Bakwata. Hii ndiyo taasisi inayojipambanua kuuwakilisha umma wa Waislam wote nchini.

Ni bahati Mbaya hiyo Bakwata yenyewe ina mafungamano ya muda mrefu na chama tawala. Hivyo hawawezi kujitokeza hadharani kuongelea jambo hilo.

Inashangaza pia kuona baadhi ya watu sijui ni kutokana na udumavu wao wa akili, au chuki zao binafsi! wanalihusisha Kanisa Katoliki na yale mauaji!

Maana yake wanataka kutuaminisha ya kwamba Kanisa ndilo lililohusika na utekaji, mauaji, kukithiri kwa rushwa na ufisadi, wizi wa kura, uminywaji wa haki mbalimbali za kiraia, nk.
 
Sawa shekhe ubwabwa, 😄 natania usije niua bure
 
Elimu dunia ni muhimu sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…