Hivi waislamu wana kinga dhidi ya majanga?

Yaan ukisoma reply za watu wa ccm na waislamu unaona ni kiasi gan akili zilivyo kua zero kwani kanisa lilisema watu watoke waandamane sasa nyie kama mnataka maridhiano kwnn maombi yasiwepo?
 
Kohorani ndo kitu gani?
Anway waislam walishaomba.
Kama wito ulivotolewa na kanisa nao wakitaka utatolewa na bakwata ili waomboleze..
Au kwenye wito kanisa limetaka na waislam waomboleze?
BAKWATA ni tawi la CCM, hawawezi kuwaombea mrehemu wa MO29 mkuu. Labda ungesema taasisi ile anayoiongoza shehe Issa Ponda.
 
BAKWATA ni tawi la CCM, hawawezi kuwaombea mrehemu wa MO29 mkuu. Labda ungesema taasisi ile anayoiongoza shehe Issa Ponda.
Nimekuuliza swali wito uliotolewa na kanisa umewakata na waislam waende kanisani kuombeleze?
Maana wito ni wakristo sasa mnataka na waislam wafate kinachotakiwa na kanisa?
 
BAKWATA ni tawi la CCM, hawawezi kuwaombea mrehemu wa MO29 mkuu. Labda ungesema taasisi ile anayoiongoza shehe Issa Ponda.
Unasema BAKWATA ni tawi la CCM
Wale waliofunga mkataba wa MoU ni bakwata au kanisa?
Kwa maana kwenye Serikali ya CCM lazima kuwe na Kanisa.
 
Mkuu ebu kuwa serious basi. Unalinganisha ajali na mauaji ya makusudi yaliyopangwa na serikali haramu ya kiquma ya CCM?
 
Haya kobaz hawayaoni. Wao wanawaza kula halua na tende tu.
 
Mkuu ebu kuwa serious basi. Unalinganisha ajali na mauaji ya makusudi yaliyopangwa na serikali haramu ya kiquma ya CCM?
makusudi ni ya wewe uliotoka kwenu na panga, rungu na kisu na kwenda kulipua kituo cha mafuta, kituo cha polisi, makazi ya watu eti ndio unadai haki au ni makusudi ya nani hapo?

yaa upore watu uchekewe tu,
ukate vidole wapiga kura, uchekewe tu,
uue watoto na wazazi wao kwakua hawataki kuungana na makusudi yako nonsense uchekewe tu, si ndio?

au hayo sio makusudi ni haki yako kikatiba right?
hiyo nonsense mkaifanye huko kwenye makanisa au nchi zilizo wadanganya lakini siao Tanzania gentleman.

halafu unakuja hapa kinafiki,
eti ng'we ng'we waombwe masamaha,
na magaidi waombewe na wafanyiwe kumbukumbu.
hiyo nonsense fanyeni as wanafi but sio kuhangaisha waTanzania wanachapa kazi na kulijenga taifa lao
 
makusudi ni ya wewe uliotoka kwenu na panga, rungu na kisu na kwenda kulipua kituo cha mafuta, kituo cha polisi, makazi ya watu eti ndio unadai haki au ni makusudi ya nani hapo?
Watoto 17 wa football academy waliouliwa huko Mwanza wakiwa kwenye banda la mpira walikuwa wanalipua kituo cha polisi cha mama yako?
 
Watoto 17 wa football academy waliouliwa huko Mwanza wakiwa kwenye banda la mpira walikuwa wanalipua kituo cha polisi cha mama yako?
Yes,
lengo la magaidi wale waliohamasisha, waliowezeshwa na kufadhiliwa na baadhi ya AZAKI na vyama vya siasa nchini, ilikua ni kuhakikisha kuna idadi kubwa ya mauaji inatokea nchini, ili waweze kuripoti kwa wafadhili wao na kupewa pesa nyingi zaidi,
za eti kutetea haki za binadama hali ya kua ni wao wenyewe wanaua watoto na wananchi wasio na hatia, tena kwa makusudi kabisa.

Nadhani kama taifa,
tupo pazuri, tume huru ya Jaji Lila iko kazini kubaina magaidia hao walioratibiwa na AZAKI kufanya hiyo nonsense.
hakuna haja ya unafiki, porojo na upotoshaji useless jukwaani
 
Mtoa mada ukishajiona wewe ni mjinga usitake sote tuwe wajinga kama wewe

Masheikh waliasa na kuasa kuhusu vurugu ila nyie mkawa kama kenge kusikia kwenu mpaka mtoke damu za pua na kweli damu mlitoka za kila mahali
 
🤣🤣🤣 🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…