Hivi wakati mwingine huwa tunalaumu wanaume pasipo kujua?

Aaah wapi! Penzi halina mitishamba bana. Kwanza uchawi haupo. Kama upo basi nawapa rukhsa hao wachawi waniloge tuone kitakachotokea.

Upo sana....ningekua mshirika ningekufanyia jaribio uone maajabu!!!
 
mnh nahisi ningemrudisha kwao usiku huo huo...huyo ni shetani kabisaaa asije sambaratisha familia yangu.:smow:
 
Huwa hatuna ujanja wanaume kwa hilo,sio mfanya kazi tu hata mke wa ndoa utakuta ana mizizi kibao lengo ni kumshika mume asikolome wala kuwa na sauti
ki ukweli mume wa mtu anabahati sana la sivyo alikuwa kifungoni mda si mrefu
 
Upo sana....ningekua mshirika ningekufanyia jaribio uone maajabu!!!

Hauna mtu unayemfahamu ambaye ni mshirikina? Kama yupo hebu mwambie kuna jamaa mmoja mbishi sana....eti anabisha uchawi upo....hebu mjaribu kidogo aone.....lol
 
Hauna mtu unayemfahamu ambaye ni mshirikina? Kama yupo hebu mwambie kuna jamaa mmoja mbishi sana....eti anabisha uchawi upo....hebu mjaribu kidogo aone.....lol
Mhhh will have to ask around...
Nikimpata anajipendekeza kwanza kwako alafu ukimtolea nje ndo anaenda kuyakoroga....siku anakiachia hata hutotaka kumuacha tena!!!JIANDAE!
 
duh kumbe tunawindwa kiasi hicho jamani...
 
Ahimidiwe Mungu aishie na kumiliki. Watoto wa kazi ni hatari. Wengine unapowaacha nyumbani wanajifanya ndo wamiliki wa nyumba. Ukiwaachia watoto wadogo hasa wa kiume wanaanza kumshikashika na kumchezea mtoto DUDU yake hadi mtoto anashikwa na ule ugonjwa wa kutahiriwa angali akiwa mdogo sana. Fanya uchunguzi utapata majibu.
 
Duh! Watu wanatafuta maslahi kwa kasi ya ajabu.
 
Huwa hatuna ujanja wanaume kwa hilo,sio mfanya kazi tu hata mke wa ndoa utakuta ana mizizi kibao lengo ni kumshika mume asikolome wala kuwa na sauti
ki ukweli mume wa mtu anabahati sana la sivyo alikuwa kifungoni mda si mrefu
 
Mi nadhan wababa ndo tusali sana maana unaweza kuja kushikwa na kamwanamke ka ajabu ajabu, ujajikuta umemtosa mamsapu wako wa ukwel. Ipite mbali.
 

...Amen, amen 1stLady, pheeewwww!

unajua haya mambo sio hawa housemaids peke yao,
hata huko 'nyumba ndogo' unadhani inakuwaje?
Wanatuloga kweli hawa watu... heri tu mtuombee enyi wake zetu wapendwa.

Angalia IMF chief Dominique Strauss-Kahn nae alivyoponzeka maskini,
arrrghhhh,....huu uchawi umeenea sana duniani!
 

Loh....eti wanawaloga....mmepata kisingizio kipya sasa eehhhh??
 
Wanawaroga kwa mengi, si mitishamba tu; na mitego midogo midogo, kujipitishapitisha, utani utani; kuwabania pua;...the list goes, mpaka mnaingia line!

 
Wanawaroga kwa mengi, si mitishamba tu; na mitego midogo midogo, kujipitishapitisha, utani utani; kuwabania pua;...the list goes, mpaka mnaingia line!

...umeona eeh?...yaani hayakwepeki! ...hata nikiziba macho nisiyaone :A S 109: kwa sauti 'namsikia...!'
Kama huko ni 'kulogwa,' mimi yalishanikolea :A S-confused1:
Hamna cha mzizi, kibuyu wala tunguli. Wamwache tu binti wa watu adumishe 'mila za kwao.'
 

Namuonea ghere mumeo jamani!! hongera Dada nawe yaishi kweli haya uliyoyanena hapa tafadhari
 
wanaume na nyinyi mambo mengine ya ndani muwe mnafanya,heee.mambo ni kusaidiana jamani
 
Namuonea ghere mumeo jamani!! hongera Dada nawe yaishi kweli haya uliyoyanena hapa tafadhari


Mulama asante kaka.... Nashukuru lakini kama ujuavyo kuongea ni rahisi.... kuprove waweza nitembelea kwangu...lol... (kidding)... enways thankyou....
 
Sisi wanaume tunawindwa sana kila kona!nani mwili huu!limbwata sisi,mahouse gal sisi,nyumba ndogo ni sisi,walioko mtaani wanatutamani sisi jamani tutakuwa wageni wanani?

Ha haaa nakwambia mbona mtagawanywa! Maskini kumbe saingine sio nyinyi.
 
Hapo sikuungi mkono, kuna vitu ambavyo ndani ya nyumba haviepukiki hata kama utakua mke mzuri kwa mumeo na maanisha unafanya kila kitu. Mfano uko kazini ukamwambia dada uspike ntakuja kupika then ikatokea na mifoleni isiyoeleweka utaacha watoto na baba yao walale na njaa mpaka urudi? Au umesafiri kikakazi siku tatu tu, utamwambia mumeo ale hotel mpaka urudi? Ukiwepo sawa unaweza fanya vyote lakini bado tu kunavitu utakuta dada kavifanya bila kuagizwa, mfano mume anaweza muomba dada maji ya kunywa haupo hapo unazuiaje labda. Kumbuka wachawi huwa wana act wazuri sana na wapole wenye adabu tele, tena anakuanzia wewe mwenyewe anakupiga limbwata unampendaa na unamwamini kuliko ndugu yako pengine hata huyo mume, akiku win wewe, sasa hapo ndo anamaliza mambo yake yalo mleta. Cha muhim hapo nikumshirikisha mungu tu ili unapopata msichana wa kazi awe anamjua mungu pia. Thanks.
 
Mamushka ; dharula zipo na kama weye ni mke wa aina dada Asha alyemsema hili la dharula halitakuwa hatarishi upande wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…