Hivi wakati Yesu Kristo anasurubiwa msalabani,Baba yake (Joseph) alikua wapi kumsaidia?

Hivi wakati Yesu Kristo anasurubiwa msalabani,Baba yake (Joseph) alikua wapi kumsaidia?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Naomba anaejua anipe jibu.

Biblia haijaainisha ni wapi alipokua Joseph wakati mwanae anasurubiwa msalabani,kwa nini hakujitokeza kumkingia kifua mwanae?
 
Mirembe inakuhusu wewe
Screenshot_20250824-214332.png
 
Kumsaidia nini mkuu?

-Yesu alienda msalabi by choice. That is what He actually came for.
  • Rudisha upanga wako. Auae kwa upanga, atakufa kwa upanga.
  • Alikuja kuishi na kufa kwa ajili ya wanadamu waovu.
  • Jililieni ninyi na watoto wenu. Msinililie.
 
Back
Top Bottom