Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hulalii wee kabintiii....?...Al-Shabab pia walikuwa wanamwangalia ujue..........hiyo msg aliyotoa ni kwa ajili ya dunia nzima sio Kenya peke yao.......
Hulalii wee kabintiii....?...
hapa Yaeda ni saa moja na robo usiku..........mambo zako lakini.........
Kiswahili ndio lugha yetu ya taifa Kenya, ipo hata kwenye katiba, na Wakenya wengi barabarani hutumia Kiswahili, ila Kingereza ndo lugha ya ofisi na biashara. Ni vigumu kuepuka Kingereza. Wakati nikiwa Dar es Salaam niliona matangazo ya biashara kila sehemu eti "jifunze kuongea kingereza chini ya wiki sita". Hata vikao vingi nilivyofanya na Wabongo wahandisi, wengi niliwaona wakitumia maneno mengi ya Kingereza kwa kukosa tafsiri ya Kiswahili. Minutes, user manuals/guides, sheria na stakabadhi nyingi Tanzania zimeandikwa kwa Kingereza.
Unapolinganisha Kiswahili na lugha zilizostawi kama kifaransa unakosea. Elewa kuwa Mfaransa, Mchina nk anaweza somea fani yake yote kama udaktari, uhandisi, urubani nk bila kutumia neno hata moja la Kingereza. Kiswahili bado hakijafikia kiwango hicho. Wadau waliopewa jukumu la kukiimarisha wamezembea tuu na kula hela.
Niliona Bongo eti Kingereza kinafundishwa kuanzia shule ya upili, jameni lugha huwa rahisi kuelewa ukiwa mdogo, hii inawafanya kaka zetu Wabongo kukosa kujiamini wanapojipata katika vikao vya kimataifa.
Umeongea ukweli kabisaKiswahili ndio lugha yetu ya taifa Kenya, ipo hata kwenye katiba, na Wakenya wengi barabarani hutumia Kiswahili, ila Kingereza ndo lugha ya ofisi na biashara. Ni vigumu kuepuka Kingereza. Wakati nikiwa Dar es Salaam niliona matangazo ya biashara kila sehemu eti "jifunze kuongea kingereza chini ya wiki sita". Hata vikao vingi nilivyofanya na Wabongo wahandisi, wengi niliwaona wakitumia maneno mengi ya Kingereza kwa kukosa tafsiri ya Kiswahili. Minutes, user manuals/guides, sheria na stakabadhi nyingi Tanzania zimeandikwa kwa Kingereza.
Unapolinganisha Kiswahili na lugha zilizostawi kama kifaransa unakosea. Elewa kuwa Mfaransa, Mchina nk anaweza somea fani yake yote kama udaktari, uhandisi, urubani nk bila kutumia neno hata moja la Kingereza. Kiswahili bado hakijafikia kiwango hicho. Wadau waliopewa jukumu la kukiimarisha wamezembea tuu na kula hela.
Niliona Bongo eti Kingereza kinafundishwa kuanzia shule ya upili, jameni lugha huwa rahisi kuelewa ukiwa mdogo, hii inawafanya kaka zetu Wabongo kukosa kujiamini wanapojipata katika vikao vya kimataifa.
Si ushamba na pia si ujinga. It is embracing diversity. English is a widely accepted language, all across the world. I dont think theres a continent where there are no english speaking nation. Kiswahili utapata tu East Africa, na labda kwa wale waeast africa walioko diaspora. You should also bear in mind that British people colonized us and thus we ended up adopting most of their constioltution, which has english as a national language enshrined in it. Kenya also enbraces other languages. Some high schools teach french, german language, and even spanish. Do you think you can compare a kid who has learned all these languages, including his mothertongue, with the one who ever since birth knows only swahili? Food for thought.,Nimemuangalia sasa hivi kenyatta anahutubia wakenya nimeshangaa anatumia kiingereza.Wakati huohuo hollande anahutubia UN kwa lugha yake kifaransa.Hivi Waafrika ni ushamba au ujinga?
Naomba jibu
Kiswahili ndio lugha yetu ya taifa Kenya, ipo hata kwenye katiba, na Wakenya wengi barabarani hutumia Kiswahili, ila Kingereza ndo lugha ya ofisi na biashara. Ni vigumu kuepuka Kingereza. Wakati nikiwa Dar es Salaam niliona matangazo ya biashara kila sehemu eti "jifunze kuongea kingereza chini ya wiki sita". Hata vikao vingi nilivyofanya na Wabongo wahandisi, wengi niliwaona wakitumia maneno mengi ya Kingereza kwa kukosa tafsiri ya Kiswahili. Minutes, user manuals/guides, sheria na stakabadhi nyingi Tanzania zimeandikwa kwa Kingereza.
Unapolinganisha Kiswahili na lugha zilizostawi kama kifaransa unakosea. Elewa kuwa Mfaransa, Mchina nk anaweza somea fani yake yote kama udaktari, uhandisi, urubani nk bila kutumia neno hata moja la Kingereza. Kiswahili bado hakijafikia kiwango hicho. Wadau waliopewa jukumu la kukiimarisha wamezembea tuu na kula hela.
Niliona Bongo eti Kingereza kinafundishwa kuanzia shule ya upili, jameni lugha huwa rahisi kuelewa ukiwa mdogo, hii inawafanya kaka zetu Wabongo kukosa kujiamini wanapojipata katika vikao vya kimataifa.
Hizi fikra bado zinatutawala hata baada ya miaka hamsini ya uhuru?...British people colonized us and thus we ended up adopting most of their constioltution, which has english as a national language enshrined in it...
Hizi fikra bado zinatutawala hata baada ya miaka hamsini ya uhuru?
Nakubaliana ba wewe.100% kiswahili hakijiyoshelzi ndio maana wachina na wajerumani na hata wafaransa wanaweza kutumia lugha zao wenyewe kwenye mashule yao na mpaka machuoni ndio maana wana uwezo wa hali ya juu ... Bongo watu wanashindwa kufanya vizuri secondary kwa kuwa hawajui kiingereza vizuri .. Unakuta form one hawezi kuandika sentesi iliyo kamili.... Kama ulivyo sema watoto wengi wa shule za msingi wangefundishwa kwa kiingereza ingekuwa ni mteremko kwao kuingia form 1
Jisemee peke yako na usichanganye wote katika kueneza huu upuuzi.In any way how will we ever remember that they brought civilization to us.
Jisemee peke yako na usichanganye wote katika kueneza huu upuuzi.
Sikushangai sana. Iko siku utajitambua.I would have wished to believe otherwise but facts are facts. they never change.