Hivi wakenya lugha yao kiswahili au kiingereza?

Status
Not open for further replies.
Nakubaliana ba wewe.100% kiswahili hakijiyoshelzi ndio maana wachina na wajerumani na hata wafaransa wanaweza kutumia lugha zao wenyewe kwenye mashule yao na mpaka machuoni ndio maana wana uwezo wa hali ya juu ... Bongo watu wanashindwa kufanya vizuri secondary kwa kuwa hawajui kiingereza vizuri .. Unakuta form one hawezi kuandika sentesi iliyo kamili.... Kama ulivyo sema watoto wengi wa shule za msingi wangefundishwa kwa kiingereza ingekuwa ni mteremko kwao kuingia form 1

Kiswahili hakijitoshelezi kivipi?
Mimi nadhani sababu kubwa ni kwamba hatuwezi kufinance projects za kiswahili basi.
 
Huna lolote. Hujui ninapoishi. Wewe endelea kujidharau!

Utachoka kubishana na huyo guchiii,yeye atuambie lugha yao ni ipi sisi ni Kiswahili,
Kiingereza ni lugha ya watu tena ya kikoloni mbona anapenda kuringia kitu ambacho sio chake wanishangaza kweli ni sawa na kusema mtoto wangu sio mzuri na kuchukua wa jirani umlee na kumuacha wako
Atuambie Kenya lugha mama yao ni ipi!!!
 
White Widow, Sory...White girl we have more than 42 native languages (lugha ya mama) . Kiswahili ndo hutuunganisha kama taifa. Kiingereza hutuunganisha na dunia. Simple and clear, isn't it?
 
Asante. Huyu jamaa bado ana mawazo duni!
 
White Widow, Sory...White girl we have more than 42 native languages (lugha ya mama) . Kiswahili ndo hutuunganisha kama taifa. Kiingereza hutuunganisha na dunia. Simple and clear, isn't it?

Loshindo lya ng'wanoko nyandebe otena masalaaaaa obhebhe
 
Tanzania tuna makabilaa mengi kuzidi nyinyi au hujui we vibration
Tuna makabila 126 nyie 42 tu aaaaaarrrrgggggggghhhh
 
White Widow, Sory...White girl we have more than 42 native languages (lugha ya mama) . Kiswahili ndo hutuunganisha kama taifa. Kiingereza hutuunganisha na dunia. Simple and clear, isn't it?

Lugha yenu ya taifa ni ipi sasa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom