ivibration
JF-Expert Member
- Oct 10, 2013
- 363
- 73
Jaribu kusahihisa hiyo sentensi. Kiingereza chenyewe taabu, hata hii lugha nayo inakupa shida? Nilishakuambia, usjifanye mjuaji sana!
Sasa imekuwa kazi ya kupimana ma.vi tena? Haha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kusahihisa hiyo sentensi. Kiingereza chenyewe taabu, hata hii lugha nayo inakupa shida? Nilishakuambia, usjifanye mjuaji sana!
Yaeda ya wapi tena mrembo! Yaeda ya Mbulu-Manyara kwa Wahadzabe au nyingine!
Sasa imekuwa kazi ya kupimana ma.vi tena? Haha!
Acha kutumia lugha ya matusi wakati mambo yanapokushinda. Hoja hujibiwa kwa hoja na sio viroja!Sasa imekuwa kazi ya kupimana ma.vi tena? Haha!
Acha kutumia lugha ya matusi wakati mambo yanapokushinda. Hoja hujibiwa kwa hoja na sio viroja!
Sasa mbona umetorokea Uswahilini tena, nilikuambia utanichoka mie. Tangia chekechea hadi vyuoni sisi huwa tunatumia lugha nyingi, za kimataifa na hata za asilia, huwezi pimana nguvu na mimi wewe mwenye umezoea lugha moja tangu utotoni hadi mtu mzima. Tembea uone mengi ili ufunguke akili.Jaribu kusahihisa hiyo sentensi. Kiingereza chenyewe taabu, hata hii lugha nayo inakupa shida? Nilishakuambia, usjifanye mjuaji sana!
Sasa mbona umetorokea Uswahilini tena, nilikuambia utanichoka mie. Tangia chekechea hadi vyuoni sisi huwa tunatumia lugha nyingi, za kimataifa na hata za asilia, huwezi pimana nguvu na mimi wewe mwenye umezoea lugha moja tangu utotoni hadi mtu mzima. Tembea uone mengi ili ufunguke akili.
Har sagt til deg, du må først rette opp feilet som du har gjørt i den setningen. Er det så vanskelig?Sasa mbona umetorokea Uswahilini tena, nilikuambia utanichoka mie. Tangia chekechea hadi vyuoni sisi huwa tunatumia lugha nyingi, za kimataifa na hata za asilia, huwezi pimana nguvu na mimi wewe mwenye umezoea lugha moja tangu utotoni hadi mtu mzima. Tembea uone mengi ili ufunguke akili.
Inaonekana unaupenda sana huo mchezo. Chunga sana kijana!Si matusi. Ni ukweli, Unapenda sana kupimisha kiwango cha ma. vi!
Jeg har ikke gjort noen feil, kan du gå til en videregående skole utenfor Swahili land. Går du få en norsk til å hjelpe deg å forstå meg. Du er ikke fra mitt kaliberHar sagt til deg, du må først rette opp feilet som du har gjørt i den setningen. Er det så vanskelig?
Inaonekana unaupenda sana huo mchezo. Chunga sana kijana!
Uwezo wetu wa kuongea lugha nyingi ndio umefanya tumeendelea kiuchumi kuliko mataifa yote ya EAC.Una fedha wewe au unaongea ongea utakula hizo lugha zako
Wahi nyumbani utatandikwa mno na mkeo ukichelewa
Unazidi kujichanganya zaidi na kuonekana una akili ndogo. Sahihisha hiyo lugha kijana!Jeg har ikke gjort noen feil, kan du gå til en videregående skole utenfor Swahili land. Går du få en norsk til å hjelpe deg å forstå meg. Du er ikke fra mitt kaliber
Wewe huna lolote. Huo uchumi watu wa huko Turkana na Marsabit wanaujua?Uwezo wetu wa kuongea lugha nyingi ndio umefanya tumeendelea kiuchumi kuliko mataifa yote ya EAC.
du kan fortsatt høres patetisk, må du lære utover enkle setninger og snakke språket mer flytende. Tren mer og mer, vil du klare å komme utenfor uswahilini gettoer.
Apo kwenye avatar yako mbona umelegea sana?Chunga Zaidi! !
Apo kwenye avatar yako mbona umelegea sana?
Jeg har ikke gjort noen feil, kan du gå til en videregående skole utenfor Swahili land. Går du få en norsk til å hjelpe deg å forstå meg. Du er ikke fra mitt kaliber
Nimekushtukia, kumbe huelewei chochote, rudi kwenye mabanda ya uswahilini unywe kahawa, huwezani nami.Unazidi kujichanganya zaidi na kuonekana una akili ndogo. Sahihisha hiyo lugha kijana!
Uchumi huwezi nawiri nchi yote kwa mpigo mmoja, hata nchi za ughaibuni kuna sehemu bado taratibu, ila katiba yetu mpya nzuri kuliko nyingi Afrika sasa imewezesha mikakati mipya itakayo rahisisha ukuaji wa uchumi nchi yote na kwa kasi.Wewe huna lolote. Huo uchumi watu wa huko Turkana na Marsabit wanaujua?