white girl
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,361
- 401
no, nape nnauye wrote it!
Nyalobangagoleeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
no, nape nnauye wrote it!
Hiyo ndio silaha yako kuu uliyobakinayo. Unatia huruma!Inferiority complex, I get it. It happens all the time.
Wengi nyie manafiki tu, elites wengi tokea Tanzania kimya kimya wamewajaza watoto wao shule za private academies Nairobi zinazofundisha kwa lugha za kingereza, Kijerumani na Kifaransa. Huku wakiwandaganya walalahoi bongo wazidi kukomaa na Kiswahili eti ni uzalendo. Nafasi nyingi za kazi bongo ukiangalia kwenye mtandao huwa na maandishi kama haya "must be fluent both in English and Swahili". Tangu lini mtu akawa na ufasaha wa lugha bila kuitumia. Wacheni unafiki na muanze kuwahimiza watoto wenyu wajifunze lugha zaidi ya Kiswahili, wajifunze Kijerumani, Kingereza, Kihispania, Kichina nk dunia ya sasa ina ushindani mkubwa na bila uwezo huo basi mutabaki nyuma.
Hata Wajapani, Wachina nk wako mbioni kujifunza Kiswahili na Kingereza.
Hiyo ndio silaha yako kuu uliyobakinayo. Unatia huruma!
Nimemuangalia sasa hivi rais Kikwete anahutubia Waafrika kwa lugha ya kiingereza Afrika Kusini nimeshangaa anatumia kiingereza.Hivi Waafrika ni ushamba au ujinga?,Nimemuangalia sasa hivi kenyatta anahutubia wakenya nimeshangaa anatumia kiingereza.Wakati huohuo hollande anahutubia UN kwa lugha yake kifaransa.Hivi Waafrika ni ushamba au ujinga?
Naomba jibu
Sawa lakini wakenya mlivyo washamba mnataka kuzungumza kiingereza baina yenu na kujidai eti mnajua kiingereza zaidi ya watz. Hapo ndio kuna tatizo, si vingine!...English is used 2 communicate with the outside world.My two cents.
English is not only used to communicate to outside world, but it's a superior language than the pathetic Swahili. In my house we do use it a lot. Kama huo ni ushamba, basi nenda kajinyonge, kwa uwezo wa kutumia lugha nyingi kuna tufanya tunakua sophisticated, huo wivu wenyu utawaua.Sawa lakini wakenya mlivyo washamba mnataka kuzungumza kiingereza baina yenu na kujidai eti mnajua kiingereza zaidi ya watz. Hapo ndio kuna tatizo, si vingine!
Nimuonee wivu mtu anaejiona duni?...kwa uwezo wa kutumia lugha nyingi kuna tufanya tunakua sophisticated, huo wivu wenyu utawaua.
Sasa mbona uwezo wetu wa kutumia lugha nyingi unakukera kama huo sio wivu. Our work force is sophisticated due to this fact. Tunaongea lugha za kigeni kama Kiswahili, Kingereza, Kifaransa na hata lugha zetu za asilia, utatuchoka.Nimuonee wivu mtu anaejiona duni?
Ninafahamu lugha zaidi ya hicho kiingereza unachokisujudu. Usijifanye mjuaji sana!Sasa mbona uwezo wetu wa kutumia lugha nyingi unakukera kama huo sio wivu. Our work force is sophisticated due to this fact. Tunaongea lugha za kigeni kama Kiswahili, Kingereza, Kifaransa na hata lugha zetu za asilia, utatuchoka.
Kufahamu lugha bila matumizi unabaki kuwa -----.Ninafahamu lugha zaidi ya hicho kiingereza unachokisujudu. Usijifanye mjuaji sana!
Acha hizo. Ni dalili ya kushindwa!Kufahamu lugha bila matumizi unabaki kuwa -----.
Siwezi shindwa na mtu ambaye amelelewa uswahilini na hana uwezo wa kuongea zaidi ya lugha moja.Acha hizo. Ni dalili ya kushindwa!
Hva er det du egentlig snakker om?Siwezi shindwa na mtu ambaye amelelewa uswahilini na hana uwezo wa kuongea zaidi ya lugha moja.
Du kan fortsatt høres patetisk, må du lære utover enkle setninger og snakke språket mer flytende. Tren mer og mer, vil du klare å komme utenfor Uswahilini gettoer.Hva er det du egentlig snakker om?
Yaeda ya wapi tena mrembo! Yaeda ya Mbulu-Manyara kwa Wahadzabe au nyingine!hapa Yaeda ni saa moja na robo usiku..........mambo zako lakini.........
Jaribu kusahihisa hiyo sentensi. Kiingereza chenyewe taabu, hata hii lugha nayo inakupa shida? Nilishakuambia, usjifanye mjuaji sana!Du kan fortsatt høres patetisk, må du lære utover enkle setninger og snakke språket mer flytende. Tren mer og mer, vil du klare å komme utenfor Uswahilini gettoer.