Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Wakenya walio wengi kuna kitu wanatuzidi. Si wanafiki wala woga linapokuja suala la kupigania haki zao. Wala si woga wala wenye sura mbili. Wanajua wanachofanya. Siyo wala makombo au watu wa kujipendekeza. Siyo watu wa kusifia na kutukuza ukumbaff na uoza. Watanzania tujifunze kuwa wakweli kwa nafsi zetu. Tujifunze kuwa realistic. Tujifunze kujiheshimu ili tusiitwe majina machafu kama vile chawa. Tujifunzu kujiamini na kujithamini ili tuaminiwe na kuthaminiwa.