hsnaturalfertility
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 399
- 992
Nani uyoKuna yule tapeli wa mbezibeach kwa komba anapenda wanawake balaa anajiita ambassador nani sijui.
Kuna watu.wanawadanganya kwamba wakiongea broken english watasambaa duniani
Wanapata mizuka zaidi 😂Imezuka tabia ya wahubiri vijana kuhubiri kwa kuchanganya kiswahili na kingereza (broken English) na tabia hii mimi binafsi inanifikirisha sana. Kiufupi nikishajua muhubiri huyu ni mchanganyaji wa lugha huwa siwezi kumsikiliza hata nusu dakika. Sijui ndio ujanja au ndio waumini wanaelewa zaidi sijaelewa.
Ukweli ni kwamba mnaboa. Afadhali makanisa yenye wakalimani, angalau mtu unaelewa wanasema nini. Sasa unakuta mtu kingereza chenyewe cha huko Nyumbigwa halafu bado anakilazimisha mwe😭😭
Ushauri wangu, kama mnalenga waumini waelewe mnachofundisha ongeeni lugha moja, either kiswahili au kingereza, na kukiwa na ulazima basi tumieni wakalimani.
Asante sana.
watajeSiyo tu huko,
Hata mtaani au humu mtandaoni
Mtu akitaka kuonesha msisitizo wa jambo anaongea kiswanglish.
Humu mtandaoni mtu akitaka kuonesha naye ana kitu ataandika kiingereza.
Hapa jamiiforum kuna watu mkikwazana anakuja PM ili aonekane wa maana ataandika kiingereza.😂
Kama sijui kiswahili cha jambo nifanyeje?Siyo tu huko,
Hata mtaani au humu mtandaoni
Mtu akitaka kuonesha msisitizo wa jambo anaongea kiswanglish.
Humu mtandaoni mtu akitaka kuonesha naye ana kitu ataandika kiingereza.
Hapa jamiiforum kuna watu mkikwazana anakuja PM ili aonekane wa maana ataandika kiingereza.😂
Kwahiyo "optic illusion" haina tafsiri ya Kiswahili? acheni hizoKama sijui kiswahili cha jambo nifanyeje?
Nataka niseme "optical illusion" nasemaje?
Tuwe waelewa.
Oh! Thy name be glorified O Lord! Ye servants we worship thou O Lord!Imezuka tabia ya wahubiri vijana kuhubiri kwa kuchanganya kiswahili na kingereza (broken English) na tabia hii mimi binafsi inanifikirisha sana. Kiufupi nikishajua muhubiri huyu ni mchanganyaji wa lugha huwa siwezi kumsikiliza hata nusu dakika. Sijui ndio ujanja au ndio waumini wanaelewa zaidi sijaelewa.
Ukweli ni kwamba mnaboa. Afadhali makanisa yenye wakalimani, angalau mtu unaelewa wanasema nini. Sasa unakuta mtu kingereza chenyewe cha huko Nyumbigwa halafu bado anakilazimisha mwe😭😭
Ushauri wangu, kama mnalenga waumini waelewe mnachofundisha ongeeni lugha moja, either kiswahili au kingereza, na kukiwa na ulazima basi tumieni wakalimani.
Asante sana.
Umeona hata wewe umeshindwa kuing'amua haraka?Kwahiyo "optic illusion" haina tafsiri ya Kiswahili? acheni hizo
Tunaona wivu hadi kwenye neno.Imezuka tabia ya wahubiri vijana kuhubiri kwa kuchanganya kiswahili na kingereza (broken English) na tabia hii mimi binafsi inanifikirisha sana. Kiufupi nikishajua muhubiri huyu ni mchanganyaji wa lugha huwa siwezi kumsikiliza hata nusu dakika. Sijui ndio ujanja au ndio waumini wanaelewa zaidi sijaelewa.