Hivi WAKUU tuna mziki wa aina gani karne hii

Hivi WAKUU tuna mziki wa aina gani karne hii

albab

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
1,198
Reaction score
2,562
Sikupata nafasi ya kusikiliza audio ya KELEBE ya RAYVANY....

Basi nkaona si mbaayaaa kuangalia video nipate pia wasaa wa mashairi pia.

LAHAULAAAAAAAAA......

Pengine ndo mziki mzuri kizazi hiki ila mimi HAPANA.
 
Back
Top Bottom