Hivi wale vijana watano wa Kariakoo walipatikana?

Hivi wale vijana watano wa Kariakoo walipatikana?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Nilikuwa sina internet kwa muda mrefu, naomba kujuzwa kuhusu hawa vijana waliopotea mwanzo wa mwaka huu kama walipatikana?

Pia, soma;
1642671239252.png
 
Watanzania wepesi sana kusahau. Hivi hili nalo tayari tushalisahau. Sasa tuko bize na Steve Nyerere vs Mwana FA.
 
Nina mashaka hata wewe unaye uliza waliopotea kama wamepatikana, huenda hata wewe umepotea ila hujui tu kama umepotea!
 
Asilimia 70% ya habari uwa nizakutengeneza
Na asilimia 30 % ndio uwa real
 
Back
Top Bottom