MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hivi ile report ya tume ya wale askari kule kusini iliishia wapi?Watanzania wepesi sana kusahau. Hivi hili nalo tayari tushalisahau. Sasa tuko bize na Steve Nyerere vs Mwana FA.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hivi ile report ya tume ya wale askari kule kusini iliishia wapi?
hiv hapa tanzania ukitaka kumilik silaha taratibu zikoje kw anaejua... plsJamii ya hovyo hovyo haiwezi kuzaa Management bora
hiv hapa tanzania ukitaka kumilik silaha taratibu zikoje kw anaejua... pls
Ile time iligundua Siri nzito ambayo ingetikisa nchi, ikabidi ifungiwe kabatiniHivi ile report ya tume ya wale askari kule kusini iliishia wapi?
Mkuu una uhakika na haya kweliIle time iligundua Siri nzito ambayo ingetikisa nchi, ikabidi ifungiwe kabatini
Dah washkaji kama utani, ndiyo wameenda hivyoWatanzania wepesi sana kusahau. Hivi hili nalo tayari tushalisahau. Sasa tuko bize na Steve Nyerere vs Mwana FA.
KabisaTunaishi kulingana na kinacho trend