Hivi wale waliokua watundu sana udogoni, ukubwani wakizishika pesa huwa inakuwaje?

Hivi wale waliokua watundu sana udogoni, ukubwani wakizishika pesa huwa inakuwaje?

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11,640
Reaction score
24,066
Kwenye maisha yetu ya kila siku na JAMII inayotuzunguka Kuna watu hutokea kuwa WATUNDU Sana....

Mpaka wengine kupewa jina la "TOTO TUNDU" Hivi watu wa Aina hii WAKIZISHIKA pesa a.k a mapene au chapaa za maana katika maisha yao huwa hawaishiwi vituko na vioja.

Embu tupeane vimbwanga vyao.....
 
Kwenye maisha yetu ya kila siku na JAMII inayotuzunguka Kuna watu hutokea kuwa WATUNDU Sana....
Mpaka wengine kupewa jina la "TOTO TUNDU"
Ivi watu wa Aina hii WAKIZISHIKA pesa a.k a mapene au chapaa za maana katika maisha yao huwa hawaishiwi vituko na vioja
Embu tupeane vimbwanga vyao.....
Kuna jamaa hapa kapita na Alteza yake Kai pimp
Inapiga makelele HAYO....nimejikuta nacheka
Haahaaa
Bila Shaka huyu jamaa alikua TOTOTUNDU udogoni
 
Back
Top Bottom