Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Hapo nyuma walianza kukomaa ooh hatufungishi ndoa zenye mimba
Walipooona idadi ya kubariki ndoa ni wengi wakaona wawafungishe tu hivyo hivyo
Hivi majuzi nimetoka kanisa moja Moshi kwenye harusi
Bwana harusi ananesa kabisa
Kila mtu akaanza kuhoji kanisa litafungisha hii ndoa ama lah
Kweli jamaa akasaidiwa sana na bestman wake akafanikiwa kuyamaliza ya kanisa
Ajabu katika mahubiri mch akasisitiza kuishi maisha ya upendo
Badaae akaanza kukemea ulevi na kuanza kusema madhara ya ulevi kwenye ndoa na jinsi watoto wanavyoteseka
Alivyotaja ulevi nikasema mmama mzazi analipua bahati akawa na hekima
Jamaa hadi ngazi anasapotiwa ilikuwa shida
Nikasema makanisa kwenye mimba tumedhiria basi na hili la walevi kuja kuoana wamelewa mkijichanganya
Kila mtu atakuja yukoo bwiii na kuondoa maana ya heshima ya kanisa tena......
Kikubwa na kibaya baba mzazi alikuwa boss mmoja ktk hayo makanisa sasa sijui mch aliona haya kidogo kwa heshima ya xboss wake
Anyway
Ijumaa kareem