Alfan issa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,281
- 893
[emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kinapendwa sababu kile kingine kinamapungufu, wali una mafuta, chumvi nk. Wakati ugali unachemshwa tuuu bila kitu vitalinganaje? Wenzio wanaumiza vichwa kwa mambo ya maana we unawaza tofaut ya wali na ugali,,,,!!!??
Ndio hicho kitendo cha kuweka sahani juu na makaa ya moto kinaitwa KUBANIKA.
Shukrani kwa muongozo Bwana Mpunga.Mbona lugha zenu zinaleta ukakasi atii !, huo wali haubanikwi, bali unakuwa unapaliwa na makaa ya moto , kwa maana ukishaiva kabla ya kukauka, unachukua chombo cha kufunika juu yake unaweka makaa ya moto, ndiyo kupalia kwenyewe hukooo!
Hasaa ukiwa na maharage pembeni kasamaki ka kukaanga au nyama rost shushia na maji baridiii na ndizi mbivu kama mpenzi weee achaaaWali mtamu nyiee
Wali ulianza kuliwaza akili zetu toka tukiwa wadogo,utaendelea kutuliwaza siku ya harusi,na utaendelea kutuliwaza mpaka siku ya msiba,udumu wali jana, leo,kesho na hata milele.
Halafu kwa kumalizia hata ID yako ni MPUNGA ππHii kitu ina majina meengi kweli kweli wala hujakosea na mengi ya majina hayo ni kuonesha sifa zake na aina za mapishi kwa mfano
Mpunga
Wali
Punje ( Ilitumika zaidi sehemu za Skuli)
Mpunyenye ( Hiii kwa wazee wetu waleee wa zamani)
Pilau ( Raha yake uwe na kachumbari na ndizi mbivu) na haswaa kwenye shughuli
Biriani ( Mapishi ya kihindi)
Ubwabwa ( Huu uliwe na maharage ) haki ya nani weka mbali na watoto !
Boko ( Hapa aidha mapishi yameenda doroo au uji wa mgonjwa)
Mchele ( kwa ndugu zetu wa Uganda na akina Omera pale za kanda ya ziwa)
Ubeche ! heee heee heee !
Acha kabisa. Umpate mpishi na hasa awe wa PWANI.Wali mtamu nyiee
πππππ Daah! Hii post noma aisee! teh! teh!Hasaa ukiwa na maharage pembeni kasamaki ka kukaanga au nyama rost shushia na maji baridiii na ndizi mbivu kama mpenzi weee achaaa
Mkuu wali upikwe na Myemeni, wao wanaita MANDI,Acha kabisa. Umpate mpishi na hasa awe wa PWANI.
Kwa hiyo na tigo ni tamu?Kinachopendwa na Waarabu, lazima kipendwe na kila mmoja!
Labda ni kizuri maana hawa wenzetu huwa wanajua vitamu hasa viko wapi!