Hivi walimu kulipia kodi ya nyumba kwa mishahara yao ni sawa?

NJALI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,534
Reaction score
1,090
Kweli mimi nashangazwa na kitendo cha serikali kuto kutenga fungu kwa ajiri ya kuwapa walimu ambao wamethibitika kuwa wamepanga vyumba vya kuishi mtaani. Mwalimu kulipia pango kutoka kwenye mshahara wake sio sawa kwani kuna walimu wanaishi kwenye nyumba za serikali bure. Je hawa watafanana kumudu ukali wa maisha?
 
leo vasco dagama amekwenda canada akirudi atakujibu mwalimu
 
Ungepangwaga huk nlipo mim kigoma ungekomaje!

unakarabat nyumba mwenyew unaweka milango,dirisha,floor na plasta then ndio uhamie sasa ndio mwl.mpya mbona utajibeba
 
Pole sana matatizo yanatofautiana huku kanda Maalmu ya Kipolisi ya T and R nafuu, japo mapanga inje nje kama uko kwenye eneo la Boko haramu kaka. Karibu Kanda Maalumu.
 
Tatizo lenu mnapenda kujilinganisha na fani nyingine!
Fani ya elimu kwa Tanzania ni kwa form 6 or form 4 failures bado mnalalamika tu!
 
Mimi sio Mwalimu lakini nalipa kodi ya nyumba kama unavyofanya wewe Mwalimu.Nashangaa hujanisemea. Ndio maana hamtafanikiwa madai yenu kwa kujiona mko special sana.
 
wafanyakaz wengine wa serikal wanapewa hizo pesa za kulipia nyumba? Kumbuka wafanyakazi wote wa serikal ukiondoa wale walio chini ya mashirika ya umma wanalipwa mshahara wa TGS ambao unalingana au uko chini ya TGTS ya walimu, sasa mbona wao hujawasemea? Kwa nini usingesema wafanyakaz wote mpewe nyumba? Nadhani kulipia kodi ya nyumb ni sehemu ya matumizi ya mshahara wako..na kama mshahara haukidh mahtaji hapo unahaki ya kudai kuongezewa,
 
Tatizo lenu mnapenda kujilinganisha na fani nyingine!
Fani ya elimu kwa Tanzania ni kwa form 6 or form 4 failures bado mnalalamika tu!

Acha ukilaza nani kakudanganya kuwa walimu wote ni form4 ama 6 failures usiishi kwa kukariri wapo wengine degree holders na masters na bado ni walimu sawa
 
Kuna Halmashauri ambazo hata hao wanaoishi nyumba za serikali wanakatwa kodi kwenye mishahara yao,nadhani ni 2% ya mshahara.
 
Ungepangwaga huk nlipo mim kigoma ungekomaje!

unakarabat nyumba mwenyew unaweka milango,dirisha,floor na plasta then ndio uhamie sasa ndio mwl.mpya mbona utajibeba

nilipangwa huko ila sikuripot,hata niambiwe kigoma ipo kama new york ctakwenda
 
Tatizo lenu mnapenda kujilinganisha na fani nyingine!
Fani ya elimu kwa Tanzania ni kwa form 6 or form 4 failures bado mnalalamika tu!

eeeeeeh,ckua najua,kama walim ni form four na six leaver failures,maana Na kufeli kwetu wengine tumefika kwa Rwekaza Mkandala zaid ya Mara moja,ila na wewe unabahat maana unajua kuandika ilhali umefundishwa na failurers.
Cc xiexie
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu mnapenda kujilinganisha na fani nyingine!
Fani ya elimu kwa Tanzania ni kwa form 6 or form 4 failures bado mnalalamika tu!

We ni mbuzi tu, utafikaje chuo wakati we ni failure. inawezekana kabisa ni we mburura namba 1 tz
 
Walimu wanaishi kwa msaada wa Mungu
 
Tatizo lenu mnapenda kujilinganisha na fani nyingine!
Fani ya elimu kwa Tanzania ni kwa form 6 or form 4 failures bado mnalalamika tu!

UNA SHIDA WEWE! hizo bhange na sembe usipoziacha utakuja kumwambia mamaako ni kwa nini alikubali kuolewa na babako masikini wa kutupwa.
Usije nisababishia ban bure kwa kukutukana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…