Kweli mimi nashangazwa na kitendo cha serikali kuto kutenga fungu kwa ajiri ya kuwapa walimu ambao wamethibitika kuwa wamepanga vyumba vya kuishi mtaani. Mwalimu kulipia pango kutoka kwenye mshahara wake sio sawa kwani kuna walimu wanaishi kwenye nyumba za serikali bure. Je hawa watafanana kumudu ukali wa maisha?