Tatizo lenu mnapenda kujilinganisha na fani nyingine!
Fani ya elimu kwa Tanzania ni kwa form 6 or form 4 failures bado mnalalamika tu!
Tatizo lenu mnapenda kujilinganisha na fani nyingine!
Fani ya elimu kwa Tanzania ni kwa form 6 or form 4 failures bado mnalalamika tu!
hata mimi ni msomi katika fani yangu,nafundisha lakini sio 'mwalimu' wa sekondari au msingi.Acha ukilaza nani kakudanganya kuwa walimu wote ni form4 ama 6 failures usiishi kwa kukariri wapo wengine degree holders na masters na bado ni walimu sawa
Acha ukilaza nani kakudanganya kuwa walimu wote ni form4 ama 6 failures usiishi kwa kukariri wapo wengine degree holders na masters na bado ni walimu sawa
eeeeeeh,ckua najua,kama walim ni form four na six leaver failures,maana Na kufeli kwetu wengine tumefika kwa Rwekaza Mkandala zaid ya Mara moja,ila na wewe unabahat maana unajua kuandika ilhali umefundishwa na failurers.
Cc xiexie
Ptuu, acha kukalili
----!jenga hoja!UNA SHIDA WEWE! hizo bhange na sembe usipoziacha utakuja kumwambia mamaako ni kwa nini alikubali kuolewa na babako masikini wa kutupwa.
Usije nisababishia ban bure kwa kukutukana!
Wewe ni failure by nature ufahamu wako tu hauna haja ya kujadiliwa sana. Umaskini wa kutupwa ndio ubaadae wako.
sijawahi kufail!ni kipaji changu kufaulu!
of course!nimefundishwa na failures,kwa sasa nimewazidi kielimu 'walimu' wangu wote.
Nimebahatika kuwafundisha 'walimu'' wangu.
sijawahi kufail!ni kipaji changu kufaulu!
sijawahi kufail!ni kipaji changu kufaulu!
hajielewi huyu yaan jua!
Tatizo lenu mnapenda kujilinganisha na fani nyingine!
Fani ya elimu kwa Tanzania ni kwa form 6 or form 4 failures bado mnalalamika tu!
eeeeeeh,ckua najua,kama walim ni form four na six leaver failures,maana Na kufeli kwetu wengine tumefika kwa Rwekaza Mkandala zaid ya Mara moja,ila na wewe unabahat maana unajua kuandika ilhali umefundishwa na failurers.
Cc xiexie
waliingia kwenye 'uwalimu' kwa pass mark zipi?
mimi nimemaliza bachelor of arts with education pale UDSM na form six nilipata dv 1.na 4M4 nilipata dv 2,ACHA USHAMBA NA UJINGA,HUNA HATA HAYA ETI SI MWALIMU WA SEKONDARI AU MSINGI!!BASI UNAFUNDISHA VICHAA MILEMBE,MAANA HUO NAO NI UALIMU SO AKILI YAKO IMEKUWA KAMA KICHAA KWA KUROPOKA BILA KUWA NA USHAHIDI.------