Hivi walimu kulipia kodi ya nyumba kwa mishahara yao ni sawa?

Hivi walimu kulipia kodi ya nyumba kwa mishahara yao ni sawa?

Tatizo lenu mnapenda kujilinganisha na fani nyingine!
Fani ya elimu kwa Tanzania ni kwa form 6 or form 4 failures bado mnalalamika tu!

Nadhani si kosa lako ila ni kosa la kuruhusu sehemu ya kutolea haja kubwa/makalio iwe sehemu ya ubongo kwa ajil ya kufikiria,
 
Tatizo lenu mnapenda kujilinganisha na fani nyingine!
Fani ya elimu kwa Tanzania ni kwa form 6 or form 4 failures bado mnalalamika tu!

Wewe ni failure by nature ufahamu wako tu hauna haja ya kujadiliwa sana. Umaskini wa kutupwa ndio ubaadae wako.
 
Acha ukilaza nani kakudanganya kuwa walimu wote ni form4 ama 6 failures usiishi kwa kukariri wapo wengine degree holders na masters na bado ni walimu sawa
hata mimi ni msomi katika fani yangu,nafundisha lakini sio 'mwalimu' wa sekondari au msingi.
 
Acha ukilaza nani kakudanganya kuwa walimu wote ni form4 ama 6 failures usiishi kwa kukariri wapo wengine degree holders na masters na bado ni walimu sawa

waliingia kwenye 'uwalimu' kwa pass mark zipi?
 
eeeeeeh,ckua najua,kama walim ni form four na six leaver failures,maana Na kufeli kwetu wengine tumefika kwa Rwekaza Mkandala zaid ya Mara moja,ila na wewe unabahat maana unajua kuandika ilhali umefundishwa na failurers.
Cc xiexie

of course!nimefundishwa na failures,kwa sasa nimewazidi kielimu 'walimu' wangu wote.
Nimebahatika kuwafundisha 'walimu'' wangu.
 
Last edited by a moderator:
UNA SHIDA WEWE! hizo bhange na sembe usipoziacha utakuja kumwambia mamaako ni kwa nini alikubali kuolewa na babako masikini wa kutupwa.
Usije nisababishia ban bure kwa kukutukana!
----!jenga hoja!
 
of course!nimefundishwa na failures,kwa sasa nimewazidi kielimu 'walimu' wangu wote.
Nimebahatika kuwafundisha 'walimu'' wangu.

Wewe utakuwa unatoka kwenye ule mkoa ambao Idd Amin alitaka kutupora sio bure. Huko ndiko kuna tambo na mbwe mbwe za namna hii. Wewe unajua kila mwalimu amefeli pepa! Hakuna wenye Div one na two pale DUCE,MUCE,UDSM na Udom wanao soma ualimu? Unajua matokeo ya kila mwalimu tarajari?
 
sijawahi kufail!ni kipaji changu kufaulu!

hata kama jack hujawah kufeli sasa umekiri kufeli,huna uwezo wakuhimili mazingira na nyakati,labda nikufahamishe kuwa mwenye degree na kuendelea sio mwalim,na kama mwenye degree kafeli bas wenye elimu ya shahada nakuendelea walifeli maana kufika elim ya juu ni mafanikio ila ww unaita kufeli.waliofeli wapo uhazili
 
sijawahi kufail!ni kipaji changu kufaulu!

hata kama jack hujawah kufeli sasa umekiri kufeli,huna uwezo wakuhimili mazingira na nyakati,labda nikufahamishe kuwa mwenye degree na kuendelea sio mwalim,na kama mwenye degree kafeli bas wenye elimu ya shahada nakuendelea walifeli maana kufika elim ya juu ni mafanikio ila ww unaita kufeli
 
Tatizo lenu mnapenda kujilinganisha na fani nyingine!
Fani ya elimu kwa Tanzania ni kwa form 6 or form 4 failures bado mnalalamika tu!

we ni ------ tena kiazi kilichooza!!ambacho hata mawazo yako ni finyu!!unadhani walioenda ualimu wote wamefeli??wengi wana dv 1 form six na ualimu ni njia zuri ya kupita katika maisha,kwani soko la ajira ni tabu!!nna wasi wasi hata we ulioandika hii statuts 4m six ulipata dv 3,ukaenda kusoma sheria tumaini,saizi unatafuta ajira,cheki aliyesoma education saizi kaajiriwa anapanga kusoma masters siku ya siku yupo TAMISEMI kama naibu waziri,so jipange falaa wee
 
eeeeeeh,ckua najua,kama walim ni form four na six leaver failures,maana Na kufeli kwetu wengine tumefika kwa Rwekaza Mkandala zaid ya Mara moja,ila na wewe unabahat maana unajua kuandika ilhali umefundishwa na failurers.
Cc xiexie

asante kwa jibu lako!!huyo ni mmbwa anayebweka tu,haelewi!!aende UDSM na MZUMBE! Aone watu wa education wengi wana dv ngapi??au nenda SUA,-------- kweli,na inaelekea sio educated maana educated hawezi kuongea pumba kama zake
 
Last edited by a moderator:
waliingia kwenye 'uwalimu' kwa pass mark zipi?

mimi nimemaliza bachelor of arts with education pale UDSM na form six nilipata dv 1.na 4M4 nilipata dv 2,ACHA USHAMBA NA UJINGA,HUNA HATA HAYA ETI SI MWALIMU WA SEKONDARI AU MSINGI!!BASI UNAFUNDISHA VICHAA MILEMBE,MAANA HUO NAO NI UALIMU SO AKILI YAKO IMEKUWA KAMA KICHAA KWA KUROPOKA BILA KUWA NA USHAHIDI.------
 
Mkuu huyo jamaa ni zaidi hata ya vichaa wa milembe. Huyo jamaa ana zero understanding in his/her head. Hata vichaa wa milembe hawawezi thubutu kumtukana mwl kama huyo...*..*.
 
Back
Top Bottom